Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 183
WanaJamii,
Naomba mnijuze, kuna watu waliopata kusoma sekondari (O-Level) pale Forodhani au Tambaza, afu wakapitia High School pale Mkwawa.
Wengi wenu nadhani mpo katika hii JamiiForum. Sasa baada ya muda wakati shule zote hizi ni non-existance watoto wako watakuelewa kweli ukiwaambia eti ulisoma mpaka form six wakati shule zenyewe hazipo? Au watakuona unawazuga?
masikini ya Mungu, utazinduka kukiwa tayari kumekucha, ngoja nikuache hivyohivyo!!!!!!!!!!
Kuendelea kuniacha sio suluisho mie naomba mnifumbue, hii maana yake nini?
WanaJamii,
Naomba mnijuze, kuna watu waliopata kusoma sekondari (O-Level) pale Forodhani au Tambaza, afu wakapitia High School pale Mkwawa.
Wengi wenu nadhani mpo katika hii JamiiForum. Sasa baada ya muda wakati shule zote hizi ni non-existance watoto wako watakuelewa kweli ukiwaambia eti ulisoma mpaka form six wakati shule zenyewe hazipo? Au watakuona unawazuga?
Utirio si unao kichwani? Cheti ni karatasi tu hata akina Nchimbi wanavyo!
Mkaa Mweusi vyeti vyako vimeibiwa ?
hapa ndipo nashindwa kutafsiri mambo kutoka jf hii mada ina maana gani,ujuaji mwingi.......Mkuu tatizo liko wapi hapa? Si vyeti utakuwa navyo? Unawaonyesha vyeti na kuwaelezea hayo mabadiliko watakuelewa tu. Hivi sasa kuna wengine shule zao za Msingi zimebadilishwa na kuwa sekondari kwahiyo hakuna tatizo kabisa, hayo ni mabadiliko tu ya kawaida hakuna cha bahati wala mkosi hapo.
hapa ndipo nashindwa kutafsiri mambo kutoka jf hii mada ina maana gani,ujuaji mwingi.......
Lengo kuu la hii mada ni kuweza kukufikirisha. Kuna mambo katika maisha ambayo unaweza kusema kuwa yanatokea kama uliwahi kuota. Ila maisha ya mwanadamu yalishaandikwa.
Ukiwa na uwezo wa kusoma alama za nyakati unaweza kujua kabisa wewe ni mtu wa aina gani. Kuna baadhi ya watu kila mahali wanapokanyaga wakitoka lazima kutakuwa na anguko. Hivyo basi ukishawajua watu wa aina hiyo inabidi ukae nao chonjo.
Kuna watu wengine wanakuwa na maisha yanayofuta historia kabla hawajafa, hii hata na wao wakifa wanasahaulika kabisa (Sijui kwa nini!) Hii philosophy ni ngumu kidogo kuielewa, nimejaribu kuwashirikisha wanaJamii.