kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,415
Niliendaga kuomba kazi sehemu ilikuwa ni kazi ya udereva, kumuendesha mzungu mmoja wa kampuni flani alikuwa ni engineer wao.
Nilikuwa sina hata sifa ya kupata ile kazi, ila yule mzungu alivyoniona alinipenda sana, akanitengenezea karatasi feki nipeleke ofisini kwake na kweli nilivyopeleka nikaingia kwenye interview na yeye akapendekeza mimi nichukuliwe kumuendesha ,sasa mnasemaje hapo

sijui anaendelea vipi! Maana nilimwona mpuuzi tu anaenjoy watu akili na kupromote ushoga nikaamua kuleft ule uzi mazima