Hii ni bab kubwa: Shikamoo Mwigulu Nchemba

Acha uongo wako hata wakusanya mapato bado hawajapata na kwa taarifa yako idara nyingi hazijapata OC huu ni mwezi wa tatu na zile pesa wanazlipwa wakina sita ni ile akiba yako imekombwa kwenye mifuko ya hifadhi yako ya uzeeni nanga mkubwa wewe!.acchilia mbali kumpa shkamoo you may wish to kiss his ass maskini mkubwa wa zana za upembuzi.

Mkuu hebu tuwe wakweli bwana! Kitu kimetoka mapema sana, cha kwangu tangu juzi nimeanza kukivuta karibia namaliza!! Hongera hazina kwa haya maboresho!
 
kaazi kweli kweli, jamiiforums haiishi vituko. Mtu kapewa haki yake anamsifia waziri. hii kali
 
Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.

mi tz bana!, kwani hujui kwamba mshahara kuwahishwa ni haki yako ya msingi??..
 
Mkuu hebu tuwe wakweli bwana! Kitu kimetoka mapema sana, cha kwangu tangu juzi nimeanza kukivuta karibia namaliza!! Hongera hazina kwa haya maboresho!

Mbona wa walimu bado huku Dar
 
Kujikomba kwingine bhana, ni kujidhalilisha!!!! Mwigulu ndiye aliyewahisha mishahara???? Mbona inachefua!!!!!!
 
Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.

What a professional losser. Tangu lini Mwigulu akagawa mshahara ...utapevuka lini we we?
 
Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.
Heri wewe mi sijalipwa toka mwezi wa tano!
Kazi ya mkataba.
 
Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.
Sasa, hcho ndo cha kusifia? Ongelea mambo ya msingi ambayo yanagusa maslahi ya kila mtu. Mf, we kama mfanyakazi kuna proposal kupunguziwa pension, hujaliona hilo, we unasifia upuuzi. Shame on yuuuu
 
Sifia tu kwakuwa hujui hata haki zako za msingi kama mtumishi
 
bora yako uliyezikuta...wengine hadi leo hawajaxiona...sijui tatizo ni nini
 
Mtoa mada bila shaka ni Mwalimu wa shule za msingi,
Hujitambui wewe..
cc
PistolGang
 
Last edited by a moderator:
Hongera mwigulu leo posho yangu ya laki tatu nimeipata mapeema kabisa,ngoja tuendelee kutunga katiba ya nchi
 
Kweli ni haki yetu walimu lakini aijawahi tokea huku kwetu mpaka tunashangaa ni nani katusaidia
 
Mtoa mada bila shaka ni Mwalimu wa shule za msingi,
Hujitambui wewe..
cc
PistolGang

Acha kuwakejili walimu pimbi ww, au ww ulikua mtoto wa mtaani hukusoma na kujua umuhim wa mwalimu. Mbali na hilo mimi sio mwalimu
 
Last edited by a moderator:
Sasa, hcho ndo cha kusifia? Ongelea mambo ya msingi ambayo yanagusa maslahi ya kila mtu. Mf, we kama mfanyakazi kuna proposal kupunguziwa pension, hujaliona hilo, we unasifia upuuzi. Shame on yuuuu
you too. Bila shaka unastress za kupigwa mabomu ya machoz
 
Back
Top Bottom