Sometimes you have to appritiate bwana
Tumia kiswahili mkuu,,utavunjika ulimi.
Sometimes you have to appritiate bwana
Itakuwa uliajiriwa kindugu ndio maana unadhani kupewa mshahara on time na serikali ni msaaa pia.Mwajiri yoyote anayetumia on time nguvu zako ,lazima alipe on time km mkataba unavyosema.Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba. Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina. Hii imekaa poa sana.
Utakua mwalim tu ww
Ukute ni graduate huyu jamaa.. Tehe tehe tehe.
Itakuwa uliajiriwa kindugu ndio maana unadhani kupewa mshahara on time na serikali ni msaaa pia.Mwajiri yoyote anayetumia on time nguvu zako ,lazima alipe on time km mkataba unavyosema.
Nimegraduate kipindi wewe upo shule ya msingi
unaongea na nani?Mimi huwa sifanyi kazi mwajiri ana longo longo huwa nampa live kuwa tarehe fulani ndiomwisho wa kazi.Wengi hudhani mimi ni mwehu au nabeep tarehe ikifika nachukua changu nanyoosha..na hata wakiomba huwa sina muda.Haha mimi huwa hata interview nawainterview waajiri na wala leta maswali ya kijinga nawapa km hawawezi afford terms zangu basi wakajikusanye.Na mimi si mshabiki sana wa ahadi za baade kuongezewa mshahara.Nilichokubaliana nacho ndicho hicho,siku nikiona hakitoshi nachapa mwendo,km wataningezea wenyewe kabla sijaanza fikiria ondoka poa.Kwangu mwa skills na labour ni bidhaa si lazima nilazimishwe kuwa mtumwa na mnyonge.Asa mbona mshahara ukichelewa mnakua mabubu na kuongelea chini chini wanafiki nyie. Kipindi hiki umewahishwa watu tuna happy fyongo kinyongo