PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Dah!.. Kweli siasa sometime safi sana bandugu. Mambo ya hazina kuu na mkakati wa bw. mwigulu nchemba.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.
Tangu nianze kazi miaka iliyopita sikuwahi ona nimepata salary yangu mapema kiasi hiki,..duh!.. leo mapeeema nimekuta changu kimewekwa tokea hazina.
Hii imekaa poa sana.