Hii ni App gani ya iphone?

Delacruzito

Member
Aug 5, 2019
90
125
IMG_1085.jpg
Eti wadau naombeni hii ni App gani ya music naona ni ya iphone?
 
Mbuzibee

Member
Mar 26, 2021
52
150
112 ft Biggie small - only you
112 - Peaches and cream
Nikirudi kwenye mada sijui App gani labda ya music 🎵🎶

🐐 Mbuzibee
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,180
2,000
Kuuliza sio ujinga spotify naisikia tu je hii unasikiliza nyimbo online na zinakua zishapangiliwa au ni ofline
Ni platform ya muziki tu kama ilivyo hizo Deezer, Audiomack, Apple Music n.k

Sema yenyewe ni kongwe na ina miziki over 70+ millions of tracks na ilikua haipatikani TZ kwenye playstore ila saiv inapatikana vizuri unaweza download, sign up na kutumia, ila pia kuna Tidal nayo ina miziki kama ya kwenye Spotify tu, ndo natumia mimi kwasasa kwa shughuli zangu za ki muziki...
 
Hii Tidal unaweza ukadownload pia ama? Na kama una import from sehemu nyingine una import from wapi? Je unaweza import from another app au from Files pekee??
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,535
2,000
Mzee hizo spotify, apple music, tidal, nk zote unalipiaa hakuna cha bure. Natumia deezer, spotify, na apple music ila nakushauri tumia apple music hutajuta hata plan zake ni cheap afu apple music ndo ya kwanza kuingia east africa ngoma zote unapata za kibongo africa etc. Apple music kwa sasa hana mshindani ameshafanikiwa kuteka soko America, Europe, na Africa sijajua Asia. Nalipia Family plan ya Apple music kwa $4.5 hivi hapo nalimit ya watu6 nashare nao wanastream free. Apple music ni cheap unastream na una download kwaajili ya offline. Unapewa 3months for free then unalipia kitu kama elfu6 kwa mwezi kwa i
Plan ya individual
 
king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
340
250

Mkuu data zako naona kama hazijakaa sawa spotify ndio inaongoza kwa sasa kwa kuwa na user wengi.Kwa huku kwetu apple music is the best ingawa spotify is the best for audio quality.Deezer ni user friend so kila app ina uziri wake.Binafsi natumia zote tatu bt nailubali sana spotify
 
Mkuu spotify ina user wengi sikatai ndomana ipo kitambo sana apple music imeanza 2015 lakin mpaka sasa wanaongoza kuwa na paid subscribers. Apple music ana 1yr ahead ana mpiku spotify kwa kuwa na subcribers wengi. Kuhusu quality apple music yuko juu ya spotify “Apple Music using a 256kbps AAC bitrate, compared to the max 320kbps Ogg Vorbis bitrate used by Spotify” na uzuri wa apple unachagua unataka quality gani,. Spotify walilala walijiachia sana mpaka apple anakuja wapiku. Hapa nilipo natumia app zote spotify na apple music na zote nalipia lakin nmeamua kubaki na apple coz spotify wamepoteza ubora sio kama zaman apple ana playlist nzuri sound quality ipo vzr na bado video una watch..
 
Sawa mkuu naona umeenda deep zaidi,big up tupo pamoja nami ninazo zote.
WITHOUT MUSIC LIFE WOULD BE A MISTAKE
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,180
2,000
Hii Tidal unaweza ukadownload pia ama? Na kama una import from sehemu nyingine una import from wapi? Je unaweza import from another app au from Files pekee??
Kama ushawahi tumia Spotify basi ndivyo mfano wa Tidal mkuu..

Try out Apple Music pia kama wadau wanavyo shauri..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom