Hii ni Akili kweli CCM?

Kwa jinsi nilivyo na hasira ndio maana ikitokea nakutana nabdemu ni shabiki wa ccm namnyweA valuer nimsugue mpaka k ivimbe kama ngumi ili nipunguze hasira..mxxxxx
 
Kwa jinsi nilivyo na hasira ndio maana ikitokea nakutana nabdemu ni shabiki wa ccm namnyweA valuer nimsugue mpaka k ivimbe kama ngumi ili nipunguze hasira..mxxxxx
Ngoja nikupe namba ya Shukuru umkomeshe.
 
SSM wanatufanya watanzani mafala Sana, akija rais mwingine akisema kusitisha mchanga lilikuwa suala sio la manufaa kwa nchi yatashangilia tena
 
hebu itafute ile clip tuwaone majambawazi ya lumumba wakiwazomea wapinzani ambao walitoka nnje kupinga mikataba ya madini iliyoletwa kwa hati ya dharula.. nadhani hata huyu POMBE tutamuona wakati huo akipiga makofi na kuzomea wapinzani waliopinga alichokisimamia leo
 
Kuna jamaa yupo anawacheki kwa mbaaali, anatingishwa kichwa tu yeye haongeagi ila ni balaa Sana, nimesikia juzi ileeeee ameongea kidogo tu mwigulu kaguswaaaaa, sema mwigulu nae anatetea tu sahani isipasuke maana ana kad mbil za njano
 
alafu leo CCM wanakata viuno kusheherekea matokeo ya upuuzi wao wenyewe.
Kesho JPM akiamka na kutangaza kuwa serikali yake imeamua ACACIA wachukue tuu huo mchanga na serikali itakaa na wanasheria wa pande zote kujadili upya mikataba utaona maccm yalivyo, wataandamana kumuunga mkono kuwa ni mtu makini na mzalendo anayewazia kuiepusha nchi na migogoro ya kimataifa.
Hao watu huwezi kumtofautisha Mlinga, Lusinde, Majaliwa au Kabudi. Wote wakishavaa kijani wako sawa tuu kichwani
 
Mkuu Mimi ktk kuish kwangu sijawai ona Hawa makijan wanafanya yamaana zaid ya kupiga makofi na ndiooooo
 
Ni watu wa ajabu.....eti wanajifanya hawajui kwamba tangu nchi ipate Uhuru ilikuwa inaongozwa na ccm na wanachofanya ni muendelezo wa utawala wa ccm!
Hapana CCM ilianza kutawala Tanzania Mwaka 1977. Nyuma ya hapo alikuwa TANU..samahani kwa kukusahihisha..
 
Yaani aibu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…