Leo hii mkulu anadai eti anasikitika tunavyonyonywa wkt alikuwepo wakat wanapitisha sheria zao za ovyo
Hahahaaaaa.... ..alafu leo CCM wanakata viuno kusheherekea matokeo ya upuuzi wao wenyewe.
Na hao wabunge wote wa sisiemu walio kuwepo wahojiwe haiwezekani wapitishe sheria mbovu namna ile tena kwa kura ya ndiooooooooo kiushabiki kama wapo mpirani kumbe ni masuala nyeti Kwa uchumi wa taifa. Waitwe wahojiwe lazima walikula mlungula ili muswada uletwe kimagumashi na upitishwe kimagumashi. Ningekuwa magufuli ningewapa zawadi wabunge wa upinzani wa kipindi kile walipinga sana huo uozo ila hawakusikilizwa just like now hawasikilizwi wakitoa maoni yao kisa sisiemu wanashangilia as if sio wao pia walioshangilia sheria ilipopitishwaalafu leo wanakata viuno kusheherekea matokeo ya upuuzi wao wenyewe.
Point.....hata wao wanatunga nyimbo wakiimba ccm ni ileile.....Awamu hii wanajitetea na kutetewa eti wao ni tofauti na awamu zingine, Mimi bado nataka kuona huo utofauti kwa hiyo mikataba kurudishwa bungeni na kujadiliwa upya, halafu wale walioisaini mwanzo wapelekwe mbele ya sheria........
Magu naye alikuwa bungeni na alikuwa ccm,sasa nani amwite nani na nani atoe zawadiNa hao wabunge wote wa sisiemu walio kuwepo wahojiwe haiwezekani wapitishe sheria mbovu namna ile tena kwa kura ya ndiooooooooo kiushabiki kama wapo mpirani kumbe ni masuala nyeti Kwa uchumi wa taifa. Waitwe wahojiwe lazima walikula mlungula ili muswada uletwe kimagumashi na upitishwe kimagumashi. Ningekuwa magufuli ningewapa zawadi wabunge wa upinzani wa kipindi kile walipinga sana huo uozo ila hawakusikilizwa just like now hawasikilizwi wakitoa maoni yao kisa sisiemu wanashangilia as if sio wao pia walioshangilia sheria ilipopitishwa
HahahaaaCCM inawatu wajanja sana kwa upande wa wizi.
Kazi kweliHahahaaa
Ni watu wa ajabu.....eti wanajifanya hawajui kwamba tangu nchi ipate Uhuru ilikuwa inaongozwa na ccm na wanachofanya ni muendelezo wa utawala wa ccm!Hawa ni watu wa ajabu sana Magufuli anafikiri as if kulikuwa na serikali nyingine ilikuwa madarakan kabla yake