Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
- Thread starter
- #21
Acha kufikiri ndani ya box!Nani hapa anapata hasara?Mimi mwenye azam niingie gharama nyingine kununua ving'amuzi vingine?Kwanini waliacha vioperate kwa kipindi chote hicho?Makosa yako kwa nani?Wao TCRA au sisi watumiaji?Kuwa mkweli na mfuatiliaji unafahamu hizo local channels ziliingia kwa mfano DSTV kinyemela...unajua kabla DSTV haikuwahi kuwa na local channels...we kama unataka kuangalia local channels TCRA wameshakuelekeza kupitia matangazo yao kwamba ununue king'amuzi stahiki...sasa sijui lengo lako hapa ni lipi...
TBC ni MUST CARRY channel na mataifa mengi duniani yanafanya hivyo...usipoweka Televisheni ya taifa kuwa must carry vipi soko huria likiamua kutoiweka na hii ndiyo taifa linaweza kuhabarishwa kuhusu lolote kwa haraka eg State of emergency...
Hebu tusiwe watu wa kulaumu,tujifunze kufuatilia maelekezo na kuelewa TCRA wameshakuelekeza local channels utazipata TING,CONTINENTAL,DIGITEK au STAR TIMES...na wala usitegemee zitakuja kurudishwa huko ZUKU,DSTV na AZAM.
Jifunze kuelewa maelekezo kabla ya KULAUMU na KUSHUTUMU.
N'yadikwa
Tuliambiwa tuandike taarifa zetu turudishiwe hela,mpaka leo yako wapi????
Nani karudishiwa?
Za kuambiwa changanya na zako!