100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,242
- 36,625
Mnauziwa bata mzinga huyo..View attachment 3622588
Huu mfupa kuuvunja lazima uwe na panga
Hapa kwa sababu ya picha linaonekana kawaida lakin ni zaid ya kg 1 kwa uzito
Kuna ambae hajatolewa kitu ni mzima kabisa na kichwa chake ni kichwa Cha kuku jogoo ila kikubwaMnauziwa bata mzinga huyo..
Sema muuzaji kaamua kutumia lugha ya marketing akawaambia ni kuku..
Bata mzinga?Itakuwa turkey 🦃, umenipa idea ngoja nianzishe turkey farming, nyama yao ikiwa smoked ni tamu sana 😋
NimewekaWeka picha
Duh.. hao sijawahi kuona..Kuna ambae hajatolewa kitu ni mzima kabisa na kichwa chake ni kichwa Cha kuku jogoo ila kikubwa
Labba umeona paja la bata mzinga mkuuNimeweka
Jamaa nimehoji nasema sijui zinaitwa piretDuh.. hao sijawahi kuona..
Kuna mzima kabisa ambae hajakatwa Hadi kichwa kipo ni Cha kukuLabba umeona baja la bata mzinga mkuu
Now hybrids zipo kibao mkuu, yapo maelfuKuna mzima kabisa ambae hajakatwa Hadi kichwa kipo ni Cha kuku
Ongeza nyingineNimeweka
KwaninDuh
Hapana sili hao
Huyu kuku ni aina ya brahma ni wa kienyeji nimeona wanauzwa hadi milioni 1 kasoro Tshs.. kwa paja la huyo unasema linauzwa 15K bila shaka si huyu.. we muulize vizuri muuzaji..
Ni bata mzinga na kuna siku niliandika uzi humu wa namna ya kuipika - supu ya bata mzinga (shingo na miguu)Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa.
Paja lake tuu wanauza 15,000
Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1
Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno.
Hii ni mbegu aina gan ya kuku?
Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
Mbona nliona lizima Lina kichwa Cha jogoo, ila ni tamu balaa Yani sio mchezoNi bata mzinga na kuna siku niliandika uzi humu wa namna ya kuipika - supu ya bata mzinga (shingo na miguu)
Kiumbe alietokana na cloning au breeding hawezi kuwa na mfupa mgumu wa aina anayoizungumzia mleta uziSaizi cloning na breeding imekuwa ndio new trend.