comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,353
- 16,961
Wanakuaga vip?Sio turkey?
Kukusio nyama ya mbuni hiyo ukahisi ni kuku
Yani ni kubwa sana mpaka nimeshangaaSaizi cloning na breeding imekuwa ndio new trend.
Tangazo lilisema ni kuku au wewe ulipoona paja uka relate na kuku kulingana na muonekano?Yani ni kubwa sana mpaka nimeshangaa
Wanaita bata mzinga..Wanakuaga vip?
Kuku kabisa, ni kuku uhakika ila kajaa sana paja tuu elfu 15 limejaa nyama linashusha hata kilo na roboTangazo lilisema ni kuku au wewe ulipoona paja uka relate na kuku kulingana na muonekano?
Ulimuona akiwa mzima au amekatwa?Kuku kabisa, ni kuku uhakika ila kajaa sana paja tuu elfu 15 limejaa nyama linashusha hata kilo na robo
Kuna mzima kabisa, Kuna vipande, shingo, miguu, kichwa, paja,mgongo,kidari unachagua kutokana na pesa yakoUlimuona akiwa mzima au amekatwa?
Hapa mtaani nadhani nishawahi kuwaona.View attachment 3622588
Huu mfupa kuuvunja lazima uwe na panga
Hapa kwa sababu ya picha linaonekana kawaida lakin ni zaid ya kg 1 kwa uzito