Hii ni aibu kwa nchi

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,952
10,500
Swali: Kipimo gani kinachotumika kukokotoa kodi kwa bidhaa kutoka Zanzibar kuja Bara?
jibu: Import export commodities exchange. Bidhaa zikishafika huingizwa kwenye import export commodities database.
Bidhaa zinazotoka zanzibar zinatozwa kodi kutokana na kwamba Zanzibar haijajiunga na mfumo huu.

HEBU SERIKALI ITUPE UFAFANUZI KWANINI ZANZIBAR IWE HAIMO KWENYE MFUMO WAKATI NI SEHEMU YA NCHI YA TANZANIA.
HUU NDIO USANII TUNAOUPINGA MIAKA YOTE KUWA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI WA MAGUMASHI.
 
Back
Top Bottom