HII NI AIBU KUBWA KWA EATV NA RADIO

nasikia kile kituo anamiliki yule manzi jack mke wa mengi....so alimwambia mzee kuwa hawapendi hao WCB...mapenzi ni tatzo kubwa hahahahaha
 
Hiyo TV na Radio walijitahidi kujifanya hawapo upande wowote,lakini CHUKI ZAO KWA WCB WAMESHINDWA KUZIFICHA,NA SASA WANAONYESHA UHALISIA WAO.Halafu wanajikuta hawawezi kufanya lolote la kuiangusha WCB,ila wamebaki na kurusha madongo yasiyokuwa na madhara kwa WCB.
Povu.
 
Back
Top Bottom