Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 9, 2012 #1 Huyu sijui anafanya zoezi au ni adhabu...!!
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 Mar 9, 2012 #2 Al-Shaabab huyo. Baada ya zoezi hilo, hakuna meli itakayokatiza katika upeo wa macho yake.
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Mar 9, 2012 #3 Bange hiyo :A S-frusty2::A S-frusty2:
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 257 Mar 9, 2012 #4 katavi said: huyu sijui anafanya zoezi au ni adhabu...!! View attachment 48905 Click to expand... huyo ni alishabab kakamatwa anateswa!!!
katavi said: huyu sijui anafanya zoezi au ni adhabu...!! View attachment 48905 Click to expand... huyo ni alishabab kakamatwa anateswa!!!
Matango JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 535 Reaction score 118 Mar 9, 2012 #5 Hiyo ni adhabu kama siyo bangiiiii !!!!
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Mar 9, 2012 #6 Adhabu hiyo bora wasichane suruali kutafuta kipumulio
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Mar 9, 2012 #7 Fidel80 said: Adhabu hiyo bora wasichane suruali kutafuta kipumulio Click to expand... mmmm Fide
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Mar 9, 2012 #8 iyo ni adhabu mkuu, kama vile naona gwanda limechafuka tope.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 9, 2012 Thread starter #9 Fidel80 said: Adhabu hiyo bora wasichane suruali kutafuta kipumulio Click to expand... Huko hakuna wazee wa Kujiexpress...
Fidel80 said: Adhabu hiyo bora wasichane suruali kutafuta kipumulio Click to expand... Huko hakuna wazee wa Kujiexpress...
CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 592 Mar 9, 2012 #10 Kimbweka said: Bange hiyo :A S-frusty2::A S-frusty2: Click to expand... alafu atakua kaivutia chooni
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Mar 9, 2012 #11 Akifanya hivyo mombasa atakuwa alhamdulilah!