Mkuu kaa nae mueleze maujinga yake then msikiliza atasema nini then uendelee na maisha...
Kuna mengi ya kufanya kwenye maisha zaidi ya kulia kwenye mapenzi na isitoshe una watoto tayari..
Akikaza kichwa,,,Fyekelea mbaliiii
Mnamtakia kifo, maamzi ya hawa watu ni ya kichawi sana!Mkuu pole sana;penzi lako kwa mkeo linahitaji 'restoration' kama unaweza kumtoa 'out' fanya hivyo na mkiwa huko jaribu kujadiliana hilo suala kwa upole....nadhani utapata muafaka.
Ni kweli mkuu ukifikiria,hii kesi imekaa vibaya. Angekuwa mpenzi ni rahisi kushauri..lakini mke na watoto kuna changamoto, inabidi yeye mwenyewe aamue akiwa ametulia.Mnamtakia kifo, maamzi ya hawa watu ni ya kichawi sana!
Ni kweli mkuu ukifikiria,hii kesi imekaa vibaya. Angekuwa mpenzi ni rahisi kushauri..lakini mke na watoto kuna changamoto, inabidi yeye mwenyewe aamue akiwa ametulia.
Ni wazo jema,ila kwa upande mwingine najaribu kuangalia kwa upande wa watotoYaani wanandoa ni shughuli sana.
Unadate na mtu anaefanya kazi na mumeo ofisi moja ili muoe aonekane bwege kwa jamaa.
Halafu kwa nini atoke nje, binafsi kesi hii ni nyepesi kwa ushahidi huo. Ndoa inaishia hapo akaolewe na huyo aliemchagua.
Halafu hadi unakubali kuolewa maana ake nini? Me naona mtu kama bado unakua na hamu ya michezo usiolewe kwanza.
Cha ajabu mke wa mtu analalamika ametengwa, it means jamaa huwa anajipigia mara kwa mara sasa imepita muda kidogo hajachapwa anaomba!😂😂.
My brother mleta uzi kama unataka kufurahisha jamii na ndugu kuwa bado umeoa endelea nae lakini kama unataka kuishi kwa amani hapo baadae mwambie ahamie kwa chaguo lake la pili.
Noted.Yaani wanandoa ni shughuli sana.
Unadate na mtu anaefanya kazi na mumeo ofisi moja ili muoe aonekane bwege kwa jamaa.
Halafu kwa nini atoke nje, binafsi kesi hii ni nyepesi kwa ushahidi huo. Ndoa inaishia hapo akaolewe na huyo aliemchagua.
Halafu hadi unakubali kuolewa maana ake nini? Me naona mtu kama bado unakua na hamu ya michezo usiolewe kwanza.
Cha ajabu mke wa mtu analalamika ametengwa, its jamaa huwa anajipigia mara kwa mara sasa imepita muda kidogo hajachapwa anaomba!.
My brother mleta uzi kama unataka kufurahisha jamii na ndugu kuwa bado umeoa endelea nae lakini kama unataka kuishi kwa amani hapo baadae mwambie ahamie kwa chaguo lake la pili.
Ni wazo jema,ila kwa upande mwingine najaribu kuangalia kwa upande wa watoto
Licha ya magonjwa, hata kukuwekea sumu ufe kama akiona wewe ni kikwazo kwenye upuuzi wake na lazima utakua kikwazo maana hutapenda kuona unagongewa.Noted.
Sitaweza bro....hili jeraha litanitesa......unayo mawazo kama yangu.
Ushahidi huu unajitosheleza kabisa...sidhani kama ataruka.
Mbaya zaidi jamaa analotokanalo limeoa pia...
Sijajua na mkewake Tabia zake...
Sasa angalia hiyo cheni...........si tutkuja kuuwana kwa malazi kweli
Cheki afya zenu kama ziko poa,toa onyo kali kwa mkeo na huyo mdhalimu.Ili maisha yaendelee...kwa kujifunza angalia kipindi cha 'cheaters tv-youtube' mtu anamkuta mkewe analiwa live na anaamua kusamehe,kutokana na muda walioishi inakuwa si rahisi kuachana.Noted.
Sitaweza bro....hili jeraha litanitesa......unayo mawazo kama yangu.
Ushahidi huu unajitosheleza kabisa...sidhani kama ataruka.
Mbaya zaidi jamaa analotokanalo limeoa pia...
Sijajua na mkewake Tabia zake...
Sasa angalia hiyo cheni...........si tutkuja kuuwana kwa malazi kweli
kama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe
Aombe uhamisho tuAngalia pia upande wa uhai wa jamaa, ukitumia jicho la fundi saa utagundua uhai jamaa uko mashakani.
Mwanamke kufikia kukufanyia hivyo kishaamua liwalo na liwe yuko tuyari kwa chochote hata kukuua ili aendelee na uhuru wake.
Sasa jamaa achague, akae na wanae au akae na mkewe kwa mashaka na muda huo yule jamaa ofisini watakaaje pia maana lazima atakuwa anamuona huyu mwenye mke kama kiazi.
Ikumbukwe kuna ndugu zetu hawana mama maisha wengine kwa sababu ya mapenzi ya Mungu ila wengine kwa sababu ya mapenzi ya mama zao kama hivi!
Hapo ndipo shida ilipoBahati mbaya Magufuri kasitisha hili zoezi!
Hapo ndipo shida ilipo
Ni ngumu kwa wakati huu kufanya maamzi ya kumuacha lakini ndo maamzi yenye tija mbeleni!Hapo ndipo shida ilipo
Inabidi muhusika achukue hatuaNi ngumu kwa wakati huu kufanya maamzi ya kumuacha lakini ndo maamzi yenye tija mbeleni!