Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,617
Hawa wanatiana kabisa tena wamemisiana kama miez miwili hawajadinyanaNi miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia.
Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua simu ya mkewangu lakini baada ya kumtilia mashaka ilibidi nifanye hivyo.
Nikweli nilichokikuta inbox ya Facebook ni hiyo conversation kati ya wife(chati ya bluu)
na jamaa ambae namjua na ni mfanyakazi mwenzangu pia na nlikuwa namheshim sana.
Hiyo conversation inaonesha watu hawa ni wapenzi wala haihitaji nguvu ya ziada kugundua hilo.
Wadau hii kitu nilikuwa nasikia tu kwa watu kumbe ni kweli aisee inauma sana usiombe yakukute....
Imagine mtu tuko nae over ten years sasa pamoja na watoto wawili Leo hii ananifanyia hichi kitu..
Afadhali hata ningekuwa na tabia ya kuchepuka nisingeumia sana.....ningejisemea tu moyoni kwamba malipo ni hapahapa duniani , muosha huoshwa.
Lakini kinachoniuma Mimi nimekuwa mwaminifu tangu nilipomuoa sijawahi msaliti hata Siku moja.
Wakuu embu nisaidieni experience kwa wale mliopata maswahibu kama haya au hata kama hayajakupata nishauri tu kabla sijaharibu Niko na hasira sio ya kawaida ingawa sijionyeshi kwake.....View attachment 897325
Mkuu una roho ngumu sana. Kwa kipi hasa? Mtu ambaye amelelewa na wazazi wake,ukakutana kwenye mahusiano na baadae ndoa,kamwe siyo ndugu yako na kamwe hafai kumng'ang'ania. Atakuliza. Kipee namshauri kama jambo hilo ni kweli amuache mara moja.Mkuu pole sana;penzi lako kwa mkeo linahitaji 'restoration' kama unaweza kumtoa 'out' fanya hivyo na mkiwa huko jaribu kujadiliana hilo suala kwa upole....nadhani utapata muafaka.
Ni wazo jema,ila nikiangalia watoto wanaweza kupata shida huko mbeleni;wengine huwa wanatengana vyumba kwa muda huku wakiangalia kama mhusika amejirekebisha.Mkuu una roho ngumu sana. Kwa kipi hasa? Mtu ambaye amelelewa na wazazi wake,ukakutana kwenye mahusiano na baadae ndoa,kamwe siyo ndugu yako na kamwe hafai kumng'ang'ania. Atakuliza. Kipee namshauri kama jambo hilo ni kweli amuache mara moja.
Nahisi wewe ni ndugu yangu ila tumbo tofauti... Ni kweli kuna mambo mengi sana yakufanyaMkuu muache huyo mwanamke, kuna mengi sana ya kufanya inatakiwa ujikite ili uyakamilishe hakuna haja ya kukumbatia vitu vinavyoumiza moyo, hata maandiko yameruhusu kumuacha mke ambaye ni mzinzi (ukimfumania kwa uzinzi), ukiendekeza utakuja lia sana na kuumia moyo sana. Huo ni mtazamo wangu, yaani mimi mke wangu achepuke lakini nisijue hapo sawa ila nikija kujua namuacha hapo hapo asije akanimaliza. But all in all Mke anauma sana mkuu.
Aisee...huu ndio ushauri serious?Mkuu pole sana;penzi lako kwa mkeo linahitaji 'restoration' kama unaweza kumtoa 'out' fanya hivyo na mkiwa huko jaribu kujadiliana hilo suala kwa upole....nadhani utapata muafaka.
Huu ndyo ushauri pekee ambao utauelewa kwa kuwa ndyo maamuzi uliyokwisha yafanya. Naamini ushauri mwingine wowote hutauona kama unafaa.Wewe nahisi umenielewa......inauma sana Braza!!! Inaniumaaa
Life is everywhere mkuu! umejilimit sana na kuona huyo mwanamke ni kila kiyu kwako...Kwa kifupi picha siipati .
Hata nikiomba uhamisho ---Ok hivi sasa ntatizamanaje na wife......... Mtu ambae tulizoea kufurahi pamoja , tuna enjoy maisha., kumbe tunachekeana kinafiki........ behind ananisaliti
YaarabbyMambo ya kuoa Ni mambo ya kishamba,piga pumbuuu amsha
Afadhali ww umeshauri kikubwa kama mtu mwenye familia wengine wanaongelea kirahis sabbu hawako kwenye situation kama hyo.Cheki afya zenu kama ziko poa,toa onyo kali kwa mkeo na huyo mdhalimu.Ili maisha yaendelee...kwa kujifunza angalia kipindi cha 'cheaters tv-youtube' mtu anamkuta mkewe analiwa live na anaamua kusamehe,kutokana na muda walioishi inakuwa si rahisi kuachana.