Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 1,636
- 1,876
Kipindi Hiko sikuweza kutilia maanani, huenda labda kwa sababu nilikuwa mtoto
Naota ndoto yaani sehem yenye maji hasa hasa mto, na ni maji ambayo yananifikia kiunoni kila mara niotapo, kwenye ndoto yale maji yanatembea!
Kinachontisha ni kwamba niotapo hii ndoto (yaani nikiwa Bado Nimelala) Nakuwa na Hofu na hata baada ya Kuamka nakuwa na hofu flani japo sio sana!
Jamani wanandugu Nisaidieni Hii ni ndoto ya nini? Imejirudia kwa zaidi ya Miaka 12 sasa!
Ahsanteni Saana!