Hii ndoto ina tafsiri gani?

Hii ndoto ina tafsiri gani?

Unaacha kuota Hela, Pesa, Chapaa, Mshiko, Mtwalo, Ngawira, Mapene, Dinari, Shekeli, Mabovu, Mapene, Money, Dolali we unaota wapenzi wa zamani? Shauri yako utakufa masikini dunia hii.

na wengine wakiota mambo mazuri wanasali eti yanakuwa kweli...namuonea wivu anayeota kabamba mijehela ya maana!!!!
 
ooooohooo nawewe umerudi kule kule kwa kitaka kila mtu aamini unavyojua wewe..
so huna msimamo ila unamtizamo/na hisia hasi....
zama zimebadilika kweli...na zinaendelea kubadilika na zote zipo kwenye vitabu wala hakuna jipya lisiloandikwa ktk yaliyopo sasa.

soma vitabu, google utaelewa tu...hata hao freemason wenyew utawaelewa tu...

tatizo huelezi unachokijua ila unacritize unaosema ndoto zina maana..
ili hata di la kubishana kuwa kuna aina ya ndoto ambazo ni taharifa flani unapewa...
AMINI UNACHOAMINI..ila usipinge anachoamini mwingine kwa unachokiamini wewe...umekiamini sababu umeona kimekusaidia na ameamini anachoona kimemsaidia...
khs upande wangu sina shaka na ninavyoota..kama tulovyosema zipo za kawaida na zipo zenye maana....hata kwenye ivo vitabu walikuwa! akiota bt kuna wakizoona hizi si ndoto tu bali ni taharifa na wakahitaji tafsiri.

hayo uliyoandika ni ndoto na kwa kuwa ndoto kwako zina maana then..good luck!!!

nisome vitabu na ku-google kutafuta tafsiri ya ndoto au...mimi ndoto huwa naziacha kitandani na life goes on

Fact ni kwamba huna hata incident moja ambapo uliota kitu na ukasali kikatokea..at least umekuwa honest hujadanganya hata na mfano mmoja

mtazamo na hisia + imani na experience ndo vinajenga msimamo if you dont know that

kama hujaelewa ninachokijua by now ni kuwa NAJUA kuwa ndoto ni ndoto tu na hazina maana yoyote kwa kipindi hiki ambapo Mungu hatumii ndoto/njozi kutufikishia ujumbe
 
Twenzetu mkuu hawa naona wanatuzingua tuu

Kama kuota mi nishaota sana.... na sioni umuhimu wake
Wiki iliyopita niliota namgegeda Beyonce
Siku mbili badae nikaota nimenunua gari zuriii BMW 320
Jna nimeota nipo kwenye jumba la kifahari na swimming pool ndani

Leo nimeota nipo jalalani nachakurachakura kama kuku kujitaftia riziki sasa embu nambie uhalisia uko wapi hapo?

Ukiota unagegedana jua ni kweli ila zaidi unatumikiwa na mashetani, kumiliki utajiri katika ndoto pia ni uhalisia wa kishetani unatabiriwa kupitia wakati mgumu katika maisha yako, na kuchakura mauchafu kuishi kimasikini ni uhalisia wa maisha yako yajayo yatajuwa mazuri kiasi fulani inashauriwa kuwa karibu na mungu kwa kusali sana kutoa sadaka na hata kutoa zaka na kuishi maisha yenye hofu ya mungu usitukane mtu usigombane usijenge hoja za kumkera mungu washauri wenzako mambo mazuri ikiwa ni kuwa karibu na mungu sana acha tamaa za kumkufuru mungu ikiwa kuiba kumshirikisha mungu na kumfananisha na chochote
 
hayo uliyoandika ni ndoto na kwa kuwa ndoto kwako zina maana then..good luck!!!

nisome vitabu na ku-google kutafuta tafsiri ya ndoto au...mimi ndoto huwa naziacha kitandani na life goes on

Fact ni kwamba huna hata incident moja ambapo uliota kitu na ukasali kikatokea..at least umekuwa honest hujadanganya hata na mfano mmoja

mtazamo na hisia + imani na experience ndo vinajenga msimamo if you dont know that

kama hujaelewa ninachokijua by now ni kuwa NAJUA kuwa ndoto ni ndoto tu na hazina maana yoyote kwa kipindi hiki ambapo Mungu hatumii ndoto/njozi kutufikishia ujumbe

nikueleze vilivyotokea na visivyotokea ili iweje we amini cha kwako acha kupebda penda story za watu...we kamata reality yako as you said ,life goes on...
ahahah life goes on hivi unazani kuna mtu maisha yamesimama?? kila mtu ana mbinu zake na iman yake kufanya maisha yawe rahis
 
X wako anakuroga, ukiota mfu ujue usiku huo ulikuwa ukitumikishwa na walozi. Sali

ni kweli si vizuri kuota waliokufa! bt kuh x wake...si lazma awe yeye...huenda sura ilitumika!
 
Inawezekana ikamaanisha maendeleo yako yanarudi nyuma, ongeza maombi
 
nikueleze vilivyotokea na visivyotokea ili iweje we amini cha kwako acha kupebda penda story za watu...we kamata reality yako as you said ,life goes on...
ahahah life goes on hivi unazani kuna mtu maisha yamesimama?? kila mtu ana mbinu zake na iman yake kufanya maisha yawe rahis

poa poa dreamer...kupenda story za watu?...you are damn right there...mambo ya ndoto ni story tu
 
Twenzetu mkuu hawa naona wanatuzingua tuu

Kama kuota mi nishaota sana.... na sioni umuhimu wake
Wiki iliyopita niliota namgegeda Beyonce
Siku mbili badae nikaota nimenunua gari zuriii BMW 320
Jna nimeota nipo kwenye jumba la kifahari na swimming pool ndani

Leo nimeota nipo jalalani nachakurachakura kama kuku kujitaftia riziki sasa embu nambie uhalisia uko wapi hapo?

my my my, mkuu umeharibu..siku nyingine ukiota unamgegeda beyonce we kwanza geuka kichwa elekeza sehemu ya miguuni then shuka lipindue na believe me, huko aliko Beyonce naye ataota unamgegeda..you never know, anaweza akaamua kutafuta details zako na mkaonana live!!!

ha ha ha...the beauty of dreams!!!!!!
 
Back
Top Bottom