Ndio maana nikakwambia kuna ndoto za ulimwengu wa giza ambazo ni za shetani na za ulimwengu wa Nuru ambazo ni za Mungu.
Unapoota jambo jema na zuri inakupasa uamke na kuliombea jambo hilo litokee kweli kimwili.
Unapoota ndoto mbaya unaamka na kuvunja roho hiyo kwa damu ya Yesu.
Pia inakupasa kujua kuna ndoto za kawaida kabisa unajua kabisa this ndoto is bcoz ya kufikiria jambo na ndoto source yake haifahamiki na inaleta maana ambazo uzipatii jawabu.
Pia Mungu utuonesha mambo mengi kwa kupitia ndoto na evn njozi same applied to Pharao.Pia shetani amemcopy mambo mengi kutoka kwa Mungu pia utumia ndoto kukuonesha mambo yake.
Jaribu kujifunza vitu hacha kutumia fikra zako pekee.
blah blah blah...ndoto ni ndoto...poteza muda wako kuhangaikia ndoto utajikuta huna muda wa kuhangaikia reality...kama Mungu akinifunulia kitu kwenye ndoto (which He seldom does in this era) well and good..ila kama shetani akiamua kufanya lolote katika ndoto it is his own loss..akija katika reality..hapo ndo Mungu ataintervene
tatizo la mafundisho ya hawa modern preachers (ambao hawatofautiani sana na waganga wa kienyeji in this respect) ni kuwafanya watu wawe wanaspiritualize kila kitu...ukijikwaa unalifanya spiritual thing, umemistime ukachelewa usafiri, you make it spiritual...unaumwa..badala ya kwenda hospitali, you make it spiritual..what then is the use of senses that Jah Almighty granted us?
Nina wasiwasi muda si mrefu watu wataanza kusali.."God, if it is Your will for me to take a bath..Your will be done"!!!!
Napenda sana kutumia fikra zangu ndio maana nawashangaa watu wanaopenda kublow simple things out of proportion...kila kitu freemasons..basi likipinduka ni freemasos.. kanumba, wema, kikwete, jay z, rihanna, george bush, kaseja, lowassa, mengi, papa wa kanisa katoliki, maria nyerere...duh dunia nzima wote freemasons!!!!!