hii ndoa

Chinekeee

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
86
Reaction score
30
Mwaionaje
 

Attachments

  • 1409932830044.jpg
    44 KB · Views: 1,190
Bibi harusi hana furaha kabisa, isijekuwa amelazimishwa au kushinikizwa.

Sura za kwa jirani hizi
 
Mmmh huyu bi harusi mbona kanuna
 
si ajabu pamoja na kitendo hicho watu walipiga nduru...
 
Bi Arusi achekelee nini hapo, ni mahari alokula babake tu ndo yamempeleka kwa huyu kimbaombao. Umeona toto lilivyojazia? Jamaa hamuwezi kabisaaa
 
Bi Arusi achekelee nini hapo, ni mahari alokula babake tu ndo yamempeleka kwa huyu kimbaombao. Umeona toto lilivyojazia? Jamaa hamuwezi kabisaaa

Wembamba wa reli.....
Af mwanaume unataka ajazie ili iweje
 
bado anamuonea aibu, itakuwa ilikuwa arranged walikutana on wedding day
 
Nimeipenda hii picha....mweka picha naomba niiweke iwe avatar yangu
 
kiswahili chako kigumu nduru ndo nn

huwezi waelewa kina watu8, kila mmoja akija hapa huja na lugha yake bi mkubwa...

ngoja aliyeandika hapo atakuja kukujibu...
 
Last edited by a moderator:
huwezi waelewa kina watu8, kila mmoja akija hapa huja na lugha yake bi mkubwa...

ngoja aliyeandika hapo atakuja kukujibu...

lol kwa hiyo wewe ni namba ngapi kati ya8
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…