Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

Au angesubiri afike ofcn ndo ampigie huyo mwenye bleeder disease
mkuu nilijiamn kuongea vile coz nafsi ilikuwa free kuwa yule ni friend na kumbuka yeye alinambia nimpgie ana shida muhimu, so kuzngatia fadhila ya urafiki wetu nikaona ni vema nmpgie fasta mana niliguswa sana kusikia ana matatzo
 
Case rahisi sana Hii, mpigie simu mkeo mwambie ulipo ili akufuate, muyaongee then mnarudi hom wote. Ndo ukubwa huo mkuu
msimamo ni kwamba, kwa kuwa kanishikia kisu sitorudi... maana sijajua kakusudia nini!
 
mkuu nilijiamn kuongea vile coz nafsi ilikuwa free kuwa yule ni friend na kumbuka yeye alinambia nimpgie ana shida muhimu, so kuzngatia fadhila ya urafiki wetu nikaona ni vema nmpgie fasta mana niliguswa sana kusikia ana matatzo
Sasa uwe na huruma na mkeo pia
 
si mimi, nimevaa viatu vyake, maana kanipa mkasa. Mimi ndio nauleta humu
mmh the way unajibu hizi comments ni wewe kabisa, mana unayajuaje mpaka ya kupekua simu sijui kushtaki mara kwa mara kwa wazazi, sijui kukutana kimjini aaah acha kutudanganya bwana
 
My point of view:
Wewe ndio umekosea kwa sababu hauko wazi..
Kama huyo uliyempigia simu ni rafiki tu ulipaswa kumjulisha mkeo, kitendo cha kutoka chumbani na kuhamia sebuleni uongee na simu, ni wazi kuwa hukutaka mkeo asikie mongezi yenu, swali kwa nini asisikie hasa kama huyo wa upande wa pili ni rafiki tu kama unavodai?

Ulipomuona amepaniki ulitakiwa kutumia busara tu na sio kumpiga, ungeshuka na kumueleza huyo dada ni nani na hata kumshirikisha hayo maongezi yenu ili kuona mnamsaidiaje huyo dada.

Kuondoka nyumbani sio suluhu, rudi mkayamalize..

Ila pia wanaume hzo tabia mnazo sana za kuwa na wanawake pembeni mkijidai rafiki na hata pesa mnawatumia kisiri siri bila mke kujua, hii si sawa. Kama ni rafiki tu mtambulishe kwa mkeo ili amjue..
Najibu kama ifuatavyo
1. Nilienda kuongelea sebuleni lengo si kumficha lengo ni kutompigia kelele mana alikuwa bado kalala

2. Nilimpiga kwa sababu aliibamiza simu yangu chini bila kunipa nafasi ya kujitetea

3. Tangu nimemuoa sina mchepuko hata mmoja, kinachomponza nadhani ni hisia tu kuwa ninaongea na mchepuko wangu
 
nimeweka uzi huu kama mimi ndie muhusika ili niende na flow nzuri ya uandishi, nanyi pia muelewe vizuri

Changamoto niliyoiona kwa huyo mkewe ni mwanaharakati(mpenda haki zisizo na tija ndani ya ndoa). Hali hiyo imemfanya awe na hulka ya kiburi, questioning, jeuri na the like...
Wewe kama rafiki yake ungefanyaje au unamshauri je? Umesoma maoni yangu. Mtu kukutishia siyo uanaharakati ni hurka mbaya kwenye familia na mwanzo mbaya. Ni sawa na mme anayempiga mkewe kila mara. Haikubaliki. Kukaa pamoja kushirikishana mambo hata kama ni ya rafiki hukuza uhusiano na kuaminiana.
 
ushauri wangu ndugu yangu. kama una hela na unawaamin hao vijana uliowaajir zima cm zote chukua begi lako tafuta sehem nenda kaa hata miez miwili ucwasiliane na mtu yeyote hata wazaz wako. mwenyewe atanywea mkuu. mi kuna kitu kiliwah kunitokea kama hiki sema kina tofauti kidogo. mi nina sghuli zangu kkoo. nina sehem pia nina hotel huko mazese sasa siku hiyo nikatoka dukan nikaenda manzese kuna inshu nilikuwa naenda kuichek fasta nirud ile nafika hotelin huku nyuma wife amekuja dukan hakunikuta si kaniendea hewan. swali la kwanza uko wapi nikamjibu nipo hotelin. mzee yalimshuka maneno cjawah kuona. na bahat mbaya ugonjwa wangu mkubwa ukiwa muongeaji sana nakuacha kabisaa. mara ooh uko na malaya zako cjui nini. basi amemaliza kuongea nikamwambia umemaliza kuongea akaniambia ndio. nikamjibu asante. nikazima cm zote. nikaenda airport nikakata tiket muda ule nikaenda Nairobi walinitafuta mpaka kwenye droo za hela mzee. sasa by then mzee alikuwa hai saa ngapi asimgeuzie kibao kuwa yeye ndio anajua nilipo so chochote kikinipata ni yeye. baada ya miez miwili nikaenda facebook page yake nikakuta ameaandika kwa kirefu msamaha anaoomba na hatarudia tena. baada ya miez miwili nikawasha cm moja nikampigia mzee alinifuata nikamueleza mzee tunaish mara moja tu so cko tayar kukumbatia jiko la mkaa. tukirud home. alinikumbatiaje na tangu cku hiyo huu ni mwaka wa 7 hajawah kunikosea tena. kibaya mimi c msemaji kabisa. so namshukuru Mungu sasa hiv ndoa iko jema sana. so huyo asimlegezee we tembea coz kwanza kupata mume anaekuweka ndan sio suala dogo dunia ya leo. akulelee watoto upate serikali imara sio rahc. wako wanawake wengi wanafunga kuomba wapewe watu wa kuwaweka ndan halafu mtu anakuja kuichezea bahat ucmlegezeee chief.
mkuu asante sana, mi niliplan week moja. Ila nitalifanyia kazi hili la miezi miwili. Ntakachokifanya ntaenda zenj , ila vijana wangu wa kazi nitawasiliana nao kwa laini mpya, maana shughuli zangu wakati mwingine zinahitaji maelezo kutoka kwangu
 
Rudi kwako Pambaf ww, Achana na Urafiki na mtu sio jinsia yako Wakat umeoa..
Vipi mkeo akiwa na rafiki wa kiume before you? Utajisikiaje?
Halafu mwanaume hakimbii mji.. Unafeli wapi lakin bro?
Ishi kwa akili mkuu, kwa hiyo mtu ukioa usiwasiliane hata na marafiki?
In fact, mke wangu akiwa na rafiki na amenitambulisha before ntaona it's ok
 
Rudi kwako Pambaf ww, Achana na Urafiki na mtu sio jinsia yako Wakat umeoa..
Vipi mkeo akiwa na rafiki wa kiume before you? Utajisikiaje?
Halafu mwanaume hakimbii mji.. Unafeli wapi lakin bro?
mtu akikushikia kisu huyo hana dhamira njema, ni heri uondoke unusuru uhai wako. We live once
 
Mke mpaka anakurukia anakunyang'anya simu inaonyesha jinsi gani huogopeki, Mume unatakiwa ukirudi nyumbani ukiweka simu zako mezani hakuna mtu yeyote ndani ya familia atadhubutu kuzishika even kusoma jina la anayepiga.

Mbili ndoa yenu imekosa hekima na busara. Kwa kuwa aliyepiga simu unamfahamu na umeahagundua mawivu ya mkeo usingepokea simu. Pili mke wako angetumia hekima ya kukuuliza taratibu hiyo ni nani? Maongezi yako sijayafurahia.

Kitendo cha kupora simu pia kinathibitisha we una michepuko na alishakufumania nayo hakuamini tena.

Rule no 1. Mume ukirudi nyumbani zima simu zako zote pata muda wa kuongea na familia na pia kuepusha calls za ajabu ajabu.

Rule no 2. Unawasha simu zako baada ya kutoka eneo la nyumbani. Hapo hutasikia mgogoro wa simu.
asante mkuu, nimezielewa hizo rules
 
amua kama mwanaume huyo mwanamke anatakiwa kujua kuwa mwanaume anahitaji kuheshimiwa waite ndugu zako pamoja na mama na wote aliowapigia simu na umpe makavu yake na kumpa likizo hadi akijikerekebisha na umwambie hiyo ni last chance
 
Kawaida tu rudi nyumbani siku nyingine atakuheshimu..na wewe acha kuchepuka
 
Yaan hata ishu ya kucheat(ni ngumu mno) ila kwangu ingezungunzika...Ila kunishikia Kisu???mbona ningekua nimefungwa now aisee.hilo halikubaliki hata kidogo...MUACHE FASTA.
Nn:siku utasinzia utasikia tu sime ya shingo mara unakutana na mzee Mugabe,Mengi at al.shauri yako
kweli mkuu, alitaka kunitanguliza akhera kabla ya siku zangu....
 
Umri wako tafadhali?

Kijana mkeo hana kosa lolote tena rudi nyumbani mara moja na ubebe zawadi ambayo unahakika anaipenda sana

NB; hayo ndio mahaba yenyewe kitendo cha wewe kumpiga kilimchanganya sana wakati anaona ana haki na wajibu wa kulinda ndoa yake
 
Huyo mwanamke ni wa kuachana nae, atakuua siku moja. Ndoa sio ticket ya kwenda mbinguni mzee baba. Watu wa Mungu ni wengi utapata mwingine, babu Seya kafunga harusi wiki hii, Sugu kaanza kuimba Mimi Nina miaka mitano 1994, lakini ameoa rasmi mwaka huu. Hizo reference ukizitumia haina haja ya kukaa na muuaji ndani. Utampata tu mwingine.
asante sana mkuu
 
Ki ukweli ulikosea kuitaj details za yule mgonjwa kwa wakati huo. Ila kauli ya "mke apigwi" na kuthubutu kuchora na kisu, Kisha kumdesturb mama mzazi. Inakubidi kumweka chini akuelewe ulivyo. Vinginevyo ajisogeze tu.
Ktk ndoa busara inaitajika sn. Namruhusu mke askilize na afatlie Ila askatishe maongez yangu kw namna yyt ile. Km anaweza avmilie mpaka namaliza maongez ya sim kisha anidadis apendavyo.
 
Back
Top Bottom