Hii ndoa ime swihi kweli?

Hii ndoa ime swihi kweli?

Ila uwasilishaji wako wa mada huwa unanipa tabu sana kukuelewa. Huwa unaleta uzi as if tulikuwa wote kwenye tukio na tunajua yaliyojiri tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huko ukumbini “Sheikh asione” alifuata nini, labda kama unamaanisha deep down their souls.... hii mbinu ya ‘red cup’ majuzi tu imetumika ‘kudanganya’ camera mezani juisi na maji ila watu wanalewa.

Ilikuwa ukihitaji kilaji unaita mhudumu tu, akienda anamimina kwa kikombe anakuletea.... wachache wasiouliza hawakustukia nayo tuseme sijui kama iliswihi.
 
Tuition Tuition Tuition

kwa ambao hawajaelewa thread

tuition Fee 30,000Tsh per hour somo litachukua mwezi

tutakua na vipindi viwili kila siku,kila kipind kitachukua 3hrs

Deadline: kesho
 
Nimeelewa hapo kwenye pombe na makreti 5 ya bia na makreti 5 ya Jack Daniel.
 
Nilivyoandika, ndivyo nilivyoelewa.
ni kwamba jamaa kahamua kuoa kwa kufikiria mwaka mzima. Mwanamke akiishaolewa habari za ndoa Keisha Ila kabla ya ndoa ndio hizi kelele. Drama za wanawake hamuzielewi. Sababu kubwa ya wanamke kumuona mwanaume handsome ni pale mwanaume anapokua hataki mademu wakati kumbe mwanamme mipango yake haiko poa. Ndio situation nzima ya story yake. Wanawake wanapenda mazoba kuliko wajanja wanaogopa kuumizwa sasa jifanye mtoto wa mjini hata kama unazopesa hautadumu na mwanamke, maana mwanamke akikosea ni kosa la mwanaume kwa kua wanapenda kusikilizwa sio kujibiwa au kuulizwa ulizwa. Ukiona hauendani nae usiforce mkaushie au mwache. Hongera kwa jamaa anaekaribia kufunga ndoa hatolala njaa maana mwanamke anamashosti wengi halafu mtoto wa mjini ila hana hela sema ni sister do
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom