nipo mwanza hapa hapa.... Mkuu....
hebu tupe maelezo kidogo , hiyo ni promotion kutoka mtandao gani na vigezo na masharti yake jee?Nipo mwanza hapa hapa.....
Sometimes inanisaidia kwa speed yake ilivyo nzuri..........
Paje hii ni promotion kutoka VODACOM kwa ajili ya wanachuo pia na watu walio karibu na chuo hupata huduma hii... mashaarti yake ni kuwa karibu na chuo ndo utapata huduma hii.. ingawa vodacom hawajaweka kila chuo kusupportiwa na hii promotion nahisi wamechagua baadhi ya vyuohebu tupe maelezo kidogo , hiyo ni promotion kutoka mtandao gani na vigezo na masharti yake jee?
thanks man. unajiungaje?Paje hii ni promotion kutoka VODACOM kwa ajili ya wanachuo pia na watu walio karibu na chuo hupata huduma hii... mashaarti yake ni kuwa karibu na chuo ndo utapata huduma hii.. ingawa vodacom hawajaweka kila chuo kusupportiwa na hii promotion nahisi wamechagua baadhi ya vyuo
ni sh 500/= tu. unapata dakika 50, sms 500 na 500MB kwa ajili ya internet