subilini jk bado yuko usa hajamaliza kupiga picha na watu maarufu duniani
nadhan baada ya picha ni video
subilini jk bado yuko usa hajamaliza kupiga picha na watu maarufu duniani
Mbona hili ni tatizo la HESLB sasa na wala sio UDOM au sijaelewa?
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.
Wameyasema wapi? una ushahidi wa kutuaminisha hayo? au ni ufataani wako tu.
UDOM muilimchukulia form kikwete ya urais,vip leo tena?
Washeni moto vijana wa udom,achen kulia lia ovyo bila kutikisa kiberiti.
Bado tu hamjapata wadogo zangu? Kweli hatuna serikali basiHatuna serikali tuna washikaji wanaokaa kwenye ofisi zetu kule posta mpya.
UDOM muilimchukulia form kikwete ya urais,vip leo tena?
hiki chuo cha kata kina vijimambo sijui kwanini hawagomi.