Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

ROMA - Mathematics
It's beautiful day asalaam aleikhum Tanzania
Nimeshatikisa nyavu mimi ndo MVP
Wakakimbia depo kwa polisi wa ccp
Niliwapigisha kuruta kwata la JKT
Nna kipaji mimi kushinda cha T H T
Nawapangisha foleni kama bank ya NMB
Mimi nimesoma pcm sio PCB
So hata tufungwe mimi ni Arsenal sio MAN U
Kibonde we ni member wa loan board au TCU
Nchi imeuzwa vigogo wanapita ATM
Tuwakemee mafisadi wote wa ccm
kuvua gamba haiwasafishi mbele ya CUF
chadema mwone Makamba Jk kwa TFF
Sihitaji dancer wala mapanga yale ya TMK
Show zangu sio longolongo zile za Y2K
na sio bandia kama lile kontena la BOT
Situkuzi kilichofake kama TOT
Mimi ndio roma ntasimama kama KKT
Asante bongo makejoo na mongo TBT
Mistari yangu mitamu kama miwa ya TPC
Na kwa hizi flow mamc mtalazwa kcmc.
Kodi ya walalahoi pombe ya tra
Miili yao ndio biashara ndani ya bba
Fataki anatoa mkopo ndani ya TIA
Mimba hazina uhakika mpaka DNA
Mhaya ishike elimu
Msambaa auze matunda
Mpemba avue samaki
Mnyakyusa avune mpunga
Aah aaah yaah rock city mikono juu yeeah
Mbeya city mikono juu
Mwambieni hatukuogopa tabiri za shekhe
Yahya
Mahuti yangetufika bila kumpinga Jakaya
Sisaliti sirudishi kadi ya chama ka Nakaya
bado ainingii akilini hukumu ya babu seya
Wagonjwa wanakufa mapokezi
Dokta anakunywa value
Wazazi wanakufa labour wengine ICU
Wagonjwa wanakufa mapokezi
Dokta anakunywa value
Wazazi wanakufa labour wengine ICU
Waambieni me mzalendo na hii ndo mbiu ya
mgambo
Tanesco wakizima umeme hupitisha mzigo wa
magendo
Harakati za dokta ricky katika kuinua michezo
Mama Terry wamemsaliti mwasiti wamempa
Tangazo
Lady pepeta hawavai msema kwel samunge
Mipira Hawaitumii eti kwa babu kuna kikombe
Mafuta wanapandisha bei kisa wanamiliki sheli
Wachina wanawapa tenda si tunanyimwa vibali
Gongo la mboto wanalia
Misaada wamewatapeli
Bandugu bwaga manyanga
Ayaokote magufuli
Pesa za ujenzi wa shule kala na mkewe
headmaster
Thamani ya mabango ya kampeni somesha
watoto veta
Wanajiuliza dkt slaa ni wapi anapata data
Hatakama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata
Ikulu wamejaa vibaka manzese wanawakamata
Makahaba wanaongezeka boom linapokata
wanauziana kwa minada mali za serikalini
Mhasibu anachek porn si tumepanga foleni
Mmakonde chonga vinyago
Muha avue dagaa
Mmasai alinde geti
Mnyamwezi aline asali
Aah aah yeah A city mikono juu yeaah
Yeeah Iringa mikono juu
Maemcee wanapata stress ROMA akitua ubungo
Tanga niliwafunga tatu nawafunga tano hapa
bongo
wanafuga rasta ili wapate mademu wa kizungu
We mchaga kauze mitumba muziki
Ushakufunga pingu
Mistari yako meusi it's okey naipaka carolite
Katiba sio msaafu my people needs copyright
Vuta pumzi ya baba ila kwa pua ya kitusi
Na siachi kupiga goti mbele ya altare kasisi
Imamu akizini mjengoni usiukimbie msikiti
Padri akilala na sista aibadilishi ukatoliki
Hata gangstar ulegeza ulegeza macho ''waat''
ukimpa cotton buds
Mnakamata mateja wakati nyi ndo mnauza
drugs
Ili ujue fegi imewaka lazma upige tafu
We baba usimtume mtoto aiwashe utamuua
mapafu
Popote umuonapo ng'ombe jua hapakosi
mmasai
Na Tongwe ndo ngome kongwe
Zanzibar msinitoe nishai
Ndoto zangu kitambo ilkua nije kuwa padri
Zikayeyuka nilipo puliziwa moshi wa weed
Naenda church naamka tena nasali
Napopote utakaponiona shingoni nimevaa rozali
Hip hop ni consious sio usharobaro kubeba
nondo
Me natafuta pesa ya kula we unamchek tu
alejandro
Unadhani utaandika nini kama sio hadithi za
konongo
Me jamii inanihitaji kamuone babu wa loliondo
Magazeti yanauza kwa skendo za wasanii
Machinga wanauza copy cosota wamekula deal
Shabiki anaburn nyimbo na show anaingia free
Underground usile ada urekodi ongeza bidii
Mzaramo acheze vanga
Mkurya apige kwata
Mdigo atungue nazi
Msukuma achunge ng'ombe
Aah you know Tanga is mine
yeaah Tanga mikono juu. mia
 
1. Fid Q
2.Young killer
3.Kala Jeremiah
4.Prof J
5.Stamina
6.Nick wa pili
7.Roho saba
8.Bonta
9.Darasa
10.Wagosi wa kaya
 
1.Fid Q
2.Prof J
3.Afande sele
4.One incredible
5Nikki mbishi
6.Mwana FA
7.Sugu
8.Mangwea R.I.P
9.Jay mo
10.Nikki wa pili....


Joh makini nimemnyima kutokana na kudrop sana ndani ya miaka mi3 hii...jamaa hatoi tena ngoma NAGWA zileee, Chid benz sijawahi kumkubali na Stamina hajui hata young killah hamuingii


Naona umemtupa center foward...
Poa shukran pia
 
1.prof j
2.afande sele
3.solo thang
4.hasheem dogo
5.jay mo
6.nash emcee
7.ngwair
8.kala pina
9.one incredible
10.nikki mbishi


Dah asante pia sheikh...
Naona hapa umeamua kuwatupa Mkoba na mwingine mbavu ya kushoto.
 
Kuna kurap na kubwata ma raper na ma rapper.
My List.
1.P da Mcee
2.Nash Mcee
3.Young Killer ni mchanga lkn ana tone ya hip hop
4.Jay Mo
5.Chindo Man
6.Nikki Mbishi
7.Stereo
8.One Incredible
9.Nikki wa pili
10.Saigon hoi kalinye kalinye King kong 3 shotta


Kwenye listi 10 basi 8 yupo Juma Mohamed Mchopanga...
 
FD Q 2.JOH MAKIN 3.JAY MO 4.D KNOB 5.DARASA 6.NIKKI 2 7.NAKO2NAKO 8.SUGU 9.WATEULE 10.IZZO B hapana chezea wanasayansi wameshindwa tambua,ng'ombe anakula majani,anatoa maziwa


Asante kwa kumuweka nafasi ya 3...
Na nafasi ya 9 kwa ujumla...
 
1. Fid Q
2.Young killer
3.Kala Jeremiah

4.Prof J
5.Stamina
6.Nick wa pili
7.Roho saba
8.Bonta
9.Darasa
10.Wagosi wa kaya

Hata kama uhuru wa maoni jamani this is too much,yaan Young Killer na Kala kweli wapo juu ya Profesa Jay?kaaazkwelkwel
 
Kuna kurap na kubwata ma raper na ma rapper.
My List.
1.P da Mcee
2.Nash Mcee
3.Young Killer ni mchanga lkn ana tone ya hip hop
4.Jay Mo
5.Chindo Man
6.Nikki Mbishi
7.Stereo
8.One Incredible
9.Nikki wa pili
10.Saigon hoi kalinye kalinye King kong 3 shotta

Yaani P The MC ndo mwanahiphop mkali zaidi kwako Tanzania tokea Hiphop imeingia bongo?Hiki kichekesho
 
Juma ndio yuleyule, umaarufu haujanibadilisha/
kichwani upara hakuna nywele,style ya kiduku itakwisha/
naanza na nyumba sina presha na corola/
makondakta kwangu washkaji so nasafiri kisela/

JUMA MOHAMMED MCHOPANGA
ndo mwanahiphop bora Tanzania kwa miaka mia ijayo..
kwa ile track yake ya JIPANGE ya 2007 kweli kina stamina na wengineo wajipange sana kufika alipo Mo Technique,MAWAZO,Mo Fravour
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom