Elections 2010 Hii Ndo Tanga Zaidi Ya Uijuavyo!

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Kivuko cha MV Pangani kikivusha wananchi wa Pangani leo. Kivuko hiki ni mojawapo ya ahadi zilizowekwa na Chama cha Mapinduzi 2005, ya kuwaletea wananchi wa Pangani kivuko cha uhakika:

muheza_(2).jpg
pencil.png
 
Pongezi zao kwa kutekeleza ahadi kwani huwa ni nadra sana watu hawa kutekeleza ahadi zao uwezo wanao nadhani tatizo ni uratibu mbovu wa ahadi zao. Kinachofuatia watuondolee na hizo paa mbovu tunazoziona mbele ya kivuko.
 
Unanikumbusha mbali sana, nakumbuka siku niliyokwenda sakura nilivuka mto pangani kwa mtumbwi kivuko kilikuwa kibovu, kivuko ni cha zamani sana nakumbuka wakati ule walikuwa na mpango wa kuleta kivuko cha Rufiji ili kifanye kazi Pangani, ahadi hii ya kivuko sijui wataitekeleza lini, si kivuko ukifuatilia ahadi zao waliwahi kusema watajenga barabara kwenda Dar kupitia pangani hadi Bagamoyo kwa ni karibu zaidi ukilinganisha na barabara ya Chalinze; Anyisile acha ushamba hilo si bwawa la maji taka nenda katembee Pangani ujionee mwenyewe mandhari yake, Pangani ni moja ya miji ya kwanza iliyostaaribika jaribu kusoma historia ya Tanganyika
 
Unanikumbusha mbali sana, nakumbuka siku niliyokwenda sakura nilivuka mto pangani kwa mtumbwi kivuko kilikuwa kibovu, Anyisile acha ushamba hilo si bwawa la maji taka nenda, Pangani ni moja ya miji ya kwanza iliyostaaribika jaribu kusoma historia ya Tanganyika

mkuu unaonekana una jazba!!
kustaarabika maana yake nini? ina maana haiwi na mabwawa ya maji taka nini?
enewei hata hivyo naona mji umejengwa sana hapo kwenye picha tena uko planed kweli
wala hauna hata nyumba chakavu hata moja, naona vitofa vya nguvu hapo
 
tatizo lako nadhani hujatembea , Pangani ni mji wa kihistoria na ni pazuri hapo unapopaona ni Bweni mto Pangani unapoingia bahari ya Hindi, sina jazba unanishangaza unapouliza bwawa la taka linahitaji kivuko sasa huo tuite ushamba au dharau?
 
moyo wako umejaa hasira sana,
kwani wewe kutembea kwako umetembea dunia nzima bwana? acha zako za kuleta hapa, dharau maana yake nini hebu ondoka hapa,
kama uliona kuna haja ya kunifahamisha juu ya hicho kimji kwa nini usifanye hivyo, kuita ushamba na wewe ndiyo ugreat thinker wako huo,
yaaani na wewe ndiyo sehemu ya kujiona umetembea sanaaaa! kufika pangani na saa ingine hujatembe bali umezaliwa huko,
kuwa mpole siyo unajifanya much know
 
bora uwaambie kaka! hawa wabeba mabox! ..
 
Sasa wewe unaambiwa unaanza kuleta jabza! acha ushamba tembea! Ndani ya nchi yako uone! ..
 
Wacha dharau wewe...
yaani na wewe kufika kwenye hako kabonde unaona umetembeaaa! hayo siyo maeneo ya mimi kutembea bwana kama ni ushamba kutofika pangani bora niwe mshamba, niache kutembelea maeneo ya kweli nihangaike na pangani kawaambie wanafunzi wa shule za msingi na chekechea
 
Anyisile acha hasira ya maisha, suala lilikuwa ni ahadi za CCM na kivuko cha Pangani, tunajaribu kukurudisha ndani ya mada, Mbeya unatokea sehemu gani? tunachojaribu kuongelea ni jinsi CCM inavyochangia kuangusha meandeleo ndani ya nchi si uzuri wala ubaya wa sehemu, nijuavyo mimi Pangani ni pazuri tu
 
Kivuko cha MV Pangani kikivusha wananchi wa Pangani leo. Kivuko hiki ni mojawapo ya ahadi zilizowekwa na Chama cha Mapinduzi 2005, ya kuwaletea wananchi wa Pangani kivuko cha uhakika:

shukrani CCM, tupe zingine ambazo zimetekelezwa na mimi naanza wanajamvi mnaweza kuongezea ambazo hazitekelezwa, yaani ahadi zilizotelekezwa:
1. daraja la kigamboni
2.
3.
4.
5.
6.
 
Unanikumbusha mbali sana, nakumbuka siku niliyokwenda sakura nilivuka mto pangani kwa mtumbwi kivuko kilikuwa kibovu, kivuko ni cha zamani sana nakumbuka wakati ule walikuwa na mpango wa kuleta kivuko cha Rufiji ili kifanye kazi Pangani, ahadi hii ya kivuko sijui wataitekeleza lini, si kivuko ukifuatilia ahadi zao waliwahi kusema watajenga barabara kwenda Dar kupitia pangani hadi Bagamoyo kwa ni karibu zaidi ukilinganisha na barabara ya Chalinze; Anyisile acha ushamba hilo si bwawa la maji taka nenda katembee Pangani ujionee mwenyewe mandhari yake, Pangani ni moja ya miji ya kwanza iliyostaaribika jaribu kusoma historia ya Tanganyika

Thanks brother.Eti bwawa la maji machafu.Kuna watu wanafiki sana.:becky:
 
Back
Top Bottom