anauza mpaka viagra
aje aseme mwenyewe
we unadhani mihela yote
ni mshahara huo?dili za chobingo anapiga!
Niko poa, sijui wewe?
Hahahaha, ishamalizika!
:A S shade:
Nshamjibu 🙂
Oh, mkono mtupu haulambwi!
:amen:
nani?..
Wewe ni ME au KE?
Source: watu8.
anauza hadi viagra?@Passion Lady kweli?..mapato yake ni makubwa lakini..my manoah ebu nipe maelezo juu ya tuhuma hizi?..ila nampenda tu,akikamatwa tutaenda wote jela,(dats kama ni kweli anauza)
we unadhani atakubali kusema mbele yako
lazima abishe ila tunamjua c chalii yetu!
mi nimekumegea siri usimwambie!
ah ah! Passion Lady kaanzisha siku izi nae kiwanda cha majungu eeeh? acha nao njoo tuyajenge maisha mama!
hivi kumbe upo!
kwani uongo?
si ukubali tu kila siku unatuuzia!
mbona umesahau kumuambia ile siku ulitaka tukagegedane? ah ah!
si bange tu zile
sio akili yako tena nyamaza!
Siku ile uli enjoy sana jinsi nilivyo kuona una ah ah ah!
ulivyoniona napuliza
moshi msuba natoa moshi ka
treni ya mzigo tena mbovu hahaaa!
twende chimbo nina arosto kinoma!
Ubaya wa hlo neno uko wapi? Ni wapi pameandikwa kuwa halitakiwi kutumika popote?