Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Ubaya wa hlo neno uko wapi? Ni wapi pameandikwa kuwa halitakiwi kutumika popote?
mimisa keshajibu hapo juu
Ubaya wa hlo neno uko wapi? Ni wapi pameandikwa kuwa halitakiwi kutumika popote?
ata sio pazito sn..piga moyo konde..he he
sitaki jibu. Nataka jawabu. kama hilo neno tongoza halifai je natakiwa kutumia neno gani? Kwa nini mnakosoa bila kuweka solution? Zion Daughter na mimisa
Ungesema hivi..unataka umuombe asimpige ban tena manoah....
kuna tofauti kati ya maana ya neno na matumizi ya neno..ungeweza sema ata ''kushawish"..maana ilo neno lingne ulolitumia tafsir ya haraka atakoyopata mtu ndo iyo itakayoleta ukakasi...BTW.. ningependa kuchat na Invisible..muambie ivo bs..
Ohooo.....!!! karibia manoah analia hapa
Niaje? Nimejileta, lete maneno
:ranger:
Kwani wewe stevoh alikupataje kama sio kwa kukutongoza..!??
Unajuaa maana ya Tongoza?