Hii ndo tamaa yangu

unajua kuna maneno mengne uwa ni ya kiswahli sawa,na kwenye kamusi yapo pia..lakini ukiyatumia uwa yanaleta ukakasi kidogo masikioni...na hii ni kwa baadhi ya watu ,mm nikiwemo..lakini kama ww unaona ni vyema kulitumia tu,bs endelea..
tafuta kwanza maana ya neno Tongoza ndipo uje hapa unambie kama ni sahihi kulitumia au lah
 
Ok, kwa mfano mazingira ya humu Jf hasa hapa Chit Chat unafikiri neno gani linafaa

It depends na mada pia na mtu ninayemuambia..kwa mfano mimi na wewe tunaheshimiana siwezi kuwa nalitaja taja hilo neno.Na tukija kwa Nicas Mtei hakuwa na sababu ya kutumia hiyo sentensi yote
 
Last edited by a moderator:
unajua kuna maneno mengne uwa ni ya kiswahli sawa,na kwenye kamusi yapo pia..lakini ukiyatumia uwa yanaleta ukakasi kidogo masikioni...na hii ni kwa baadhi ya watu ,mm nikiwemo..lakini kama ww unaona ni vyema kulitumia tu,bs endelea..

Huo ukakasi unatokana na nini? Hebu nipe neno m badala
 
unajua kuna maneno mengne uwa ni ya kiswahli sawa,na kwenye kamusi yapo pia..lakini ukiyatumia uwa yanaleta ukakasi kidogo masikioni...na hii ni kwa baadhi ya watu ,mm nikiwemo..lakini kama ww unaona ni vyema kulitumia tu,bs endelea..

mimisa una akili sana
 
Last edited by a moderator:
It depends na mada pia na mtu ninayemuambia..kwa mfano mimi na wewe tunaheshimiana siwezi kuwa nalitaja taja hilo neno.Na tukija kwa Nicas Mtei hakuwa na sababu ya kutumia hiyo sentensi yote

Ubaya wa hlo neno uko wapi? Ni wapi pameandikwa kuwa halitakiwi kutumika popote?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…