AD,
Hapo hakuna tatizo kwa huyo wifi. Analotakiwa kufanya ni kuacha wafu wazike wafu wao! Hata siku moja mtu yeyote asithubutu kupeleka kimbelembele chake eti anampenda mtu kumweleza mambo kama hayo. Waache tu watajuana siku moja na watasolve wenyewe.
Wifi atulie tu na ajifanye hajui lolote.
nilikuwa natizama kipindi fulani ATN cha women issues kama sijakosea, kilichokua kinasema hivi "je kuna umuhimu wowote unaposikia/kuona jambo ww kulichukua na kulifikisha kwa mhusika??" majibu mengi yalikuwa si lazima kusema jambo hasa unapoona linaweza kuleta madhara fulani.
hembu chukua mfano ukaenda kumweleza wifi yako, then akaanguka akapoteza maisha au kupooza je ww utapata faida gani??
binafsi sioni kama kunaumuhimu wa kumweleza, ni bora aone mwenyewe!!!
hayo ni maoni yangu tu mimi!!!
kama huyu mwingine ni rafiki yako means unammudu,wakalishe chini yeye na kaka yako waambie ukweli kama walikuwa na uhusiano before ndoa lkn hakuolewa rafikiyo akaolewa mtu mwingine it means she is not a wife material [used product tu],so unawashauri kwa kuwa wote watatu unawaheshim hivyo basi hao wawili wakosa adabu waache mara moja upuuzi wao and if hawataki basi utafikisha jambo hilo sehem husika.
nilikuwa natizama kipindi fulani ATN cha women issues kama sijakosea, kilichokua kinasema hivi "je kuna umuhimu wowote unaposikia/kuona jambo ww kulichukua na kulifikisha kwa mhusika??" majibu mengi yalikuwa si lazima kusema jambo hasa unapoona linaweza kuleta madhara fulani.
hembu chukua mfano ukaenda kumweleza wifi yako, then akaanguka akapoteza maisha au kupooza je ww utapata faida gani??
binafsi sioni kama kunaumuhimu wa kumweleza, ni bora aone mwenyewe!!!
hayo ni maoni yangu tu mimi!!!
Mmemaliza kabisa, kuna vitu vingine inabidi kuviacha kama vilivyo
Hi P,
Sikujua kuwa hata nyie mnatumie lugha kama hizo!! Hata hivyo hili suala ni gumu sana na wifi anatakiwa kuwa makini sana lolote atakalolisema au kulifanya!!
Hujambo lakini?? Mzee DC alikumiss sana!!
Dah!!!!!mi cjambo my dear missed u big tyme,yap lugha hizi tunazo ,najua kusema kwa muhusilka direct si vzr kabisa na madhara yake ni makubwa sana lkn kuna mambo madogo madogo unaweza kufanya hapo,kama kuongea na kakayako au ur fake shostito,coz rafiki kama huyu kesho hashindwi kutembea na mtu wako they say do the do before the do does you! ningekuwa ni yy ningejiona mjinga na mpumbavu sana angenipenda angeniweka ndani but anajua nilivyo mwepesi na sina gharama thats y any time ananipata na kufanya atakacho,if u get free milk y buy a cow?
Dah!!!!!