Hii ndo sifa kubwa ya Mwanaume......!!!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
 
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako

wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...

hiyo ndo first ....

Well said,Wenye akil finyu wanaona kutembea na kila mwanamke ndo sifa yey kidume kumbe anapotea.Na wanajua sana kupamba kuwa hamna kidume kama wew kumbe anakuona wakuja tu
 
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?

Usidhani wanawake wanaendeshwa na nyege. Kwenye vitu vya muhimu katika mahusiano kwa wanawake hilo laweza kuwa la mwisho au karibu kabisa na la mwisho. Kujua hilo ni msingi utakaokusaidia katika mahusiano yako na wanawake.
 
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?

Enzi za mwalimu, palikua na misemo kama:- mtunze mkeo, hakikisha unatimiza majukumu kama baba, mwanamke hapigwi na kadhalika.
Haya maneno yalikua na maana kubwa sana.
Mwanaume iliawe kamilifu, lazima ampende mkewe na familia (MAPENZI), mwanaume lazima afanye kazi kwa bidii (PESA) kwaajili ya kumtunza mkewe na familia kwa ujumla na lazima mwanaume awajibike kitandani (MAKATIKO) kama ipaswavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…