Hii ndo serikali sikivu?


M

MAKINYA

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
139
Points
0
M

MAKINYA

Senior Member
Joined Dec 20, 2012
139 0
Kwa nyakati tofauti,nimekuwa nikiskia kauli hii "serikali sikivu ya chama cha mapinduzi"
sasa hii kauli ya Naibu waziri wa nishati na madini ndugu Simba chawene,kuwa "mtanzania atakaeona gharama ya umeme ni kubwa basi akanunue mafuta ya taa awashe kibatari au alale giza " ndo usikivu wenyewe?
Hivi hakuna sheria inayoweza kumuwajibisha kiongozi kama huyu anayetoa kauli za kudharau watanzania wakati tuko katika hali mbaya sana kiuchumi wengine hata hayo mafuta ya taa hatuwez kununua mana bei yake nayo haikamatiki na serikali ipo wala haina habari .
Jamani watanzania tuamke usingizeni hawa jamaa wanavuka mipaka
 

Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,795
Top