Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Hii ndo sababu ya wanawake kufanywa take away

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,657
Reaction score
8,589
sababu hiyo hapo
 

Attachments

  • 1528761_624456947621112_950947922_a.jpg
    1528761_624456947621112_950947922_a.jpg
    6.7 KB · Views: 5,296
Wanaume wa siku hizi waoga, mnaogopa sana majukumu.

tatizo siyo majukumu tatizo mnazingu hata uwe na kazi lakini still mizinga kwa sana mkiachwa mnalialia tu
 
Natumaini angalau kwamba wanawake wanaofikiri kwamba wanaume jukumu lao ni kuombwa pesa, sio hao hao wanaodai usawa na wanaume.

jukumu lao ni kuhudumia mwanamke apendeze hasa mkewe au mpenzi. masaidiano yapo lkn sifa ya mwanume ni kutunza kilicho chake jamani. halafu kuhusu usawa, sio wote waumini wa hiyo kitu. wengine tumelelewa kidini zaidi ingawa tunasoma gender balance lkn hatupractise kivile.
 
haka kademu kamizinga mamawee .....utakawezaaaaaaaa? , kademu kanapiga mizinga mamaweeeeeeee hutakawezaa!!!!!!!!. kawimbo kazuri haka
mtanga & bambo hoyeeeeeeee
!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na ukitaka umpate mwanamke kirahisi we mpe hela, akikuomba mpe tu hela , asipokuomba mlazimishe achukue tu hela yako.
 
Back
Top Bottom