Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 699
Sometimes unawaza unaona bora usioe..ila upweke unakuwa kikwazo, na maadili, watoto wazaliwe katika ndoa kama wewe ulivyozaliwa na kulelewa kwenye familia moja yenye baba mmoja na mama mmoja!
A big challenge..Lord help us!
Usipooa umeavoid majanga ya mchepuo wa mke what about majanga utakayopata wewe ukiwa unachepua? unless uamue kuungana na baba paroko once and for all