Hii ndo kete aliyocheza Maalim Seif yenye akili

Na si hivyo tu mkuu, hata kugombea nafasi yoyote Maalim Seif hataruhusiwa. Maana sheria mpya inamtaka kukaa miaka 3
Anaweza kubaki kama kada, kinachotakiwa ni nguvu yake ya ushawishi na pia kuheshimika na watanzania. Halafu hiyo sheria haizuii yeye kuteuliwa kugombea urais visiwani.
 
Ukawa sio lazima utangazwe wanaweza kugawana maeneo tu

Hata ccm wanajidanganya hamna jambo la milele ni suala la muda tu tuombe uhai muda unavyosogea jamii inazidi kutoa ujinga
Wenye akili tuu ndio tunalitambua hili
sisiem wamejiloga na lipumba wao
 
Sheeia mpya ya vyama vya siasa umeisahau ndugu yangu? Chini ya sheria hiyo hakuna kitu kinaitwa ukawa. Tatizo mnajidanganya sana yaani hadi mnatia huruma.
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala hadi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kinachodumu milele hakizaliwagi. CCM itawale milele wakati imezaliwa miaka michache tu kabla yangu? Acha kumkosea Mungu.
 
Ningemuona Seif ana maana sana angebaki CUF na kuyamaliza na Lipumba kwani aliyewatenganisha, Lowassa, kisharudi CCM.

Ikiwa Maalim Seif kashindwa kuelewana na Mnyamwezi ataelewana na Muha?
 
Ningemuona Seif ana maana sana angebaki CUF na kuyamaliza na Lipumba kwani aliyewatenganisha, Lowassa, kisharudi CCM.

Ikiwa Maalim Seif kashindwa kuelewana na Mnyamwezi ataelewana na Muha?
Angekuwa mjinga sana endapo angefuata huo ushaur wako kama lipumba alikuwa anaipenda cuf kwa nini alikimbia kipind kigumu cha uchaguzi? Alirudi mwaka juz lowasa alikuwa kaenda ccm aliemkimbia?
 
Kama nakumbuka vizuri ilisemwa sana humu kama ACT iliundwa kwa ajili ya kugawa kura za upinzani kwenye uchaguzi mkuu wakimtumia zito&co. Na ilisemwa zaidi namba moja alipowateua viongozi wakuu wa ACT wawili kuingia kwenye utendaji wa serikali. Leo hii Maalim &co wamehamia hukohuko CCM B wanaonekana ni mashujaa na wanaenda kuimarisha upinzani. Ngoja niendelee kushuhudia picha la kihindi.

Naam.
 
Cha ajabu lipumbav kabakiwa na jina tu,umma wote upo kwa maalim

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndilo ninalosubiri kuliona - hii CUF ya Lipumba itakuwa CUF ya namna gani! Nasubiri kuona matokeo, hasa tukikaribia kwenye uchaguzi.

Professor wa uchumi ataonyesha umahiri wake wa kisiasa na kuipandisha chati CUF yake? Tusubiri, tutayaona mengi.
Sasa hivi acha afaidike na ruzuku.
 
Mbowe mtoe hapo ni CCM
Kama ni CCM mbona mnamsotesha jela kila siku acha kujifariji Jiwe alimwambia akikubali kwenda CCM atampa uwaziri mkuu bado Mbowe akagoma, huyo hanunuliki endelea kujifariji na angekuwa CCM Kama ubongo wako unavyokutuma basi Tundu Lissu angekufa mapema, ni Mbowe ndo alipigania uhai wa Tundu Lissu na akakodi ndege ya kumpeleka Lissu Nairobi, acha kujifariji wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huku bara Maalimu ameuweka Upinzani katika hali tete.. Alitakiwa ajiunge na Chadema..kwani ndio chama kikuu cha upinzani pia walikuwa washirika kwenye ukawa...nauona mtifuano wa kisiasa kati ya Act na Cdm ziku za mbeleni.
 
Back
Top Bottom