Hii ndo kete aliyocheza Maalim Seif yenye akili

Sheeia mpya ya vyama vya siasa umeisahau ndugu yangu? Chini ya sheria hiyo hakuna kitu kinaitwa ukawa. Tatizo mnajidanganya sana yaani hadi mnatia huruma.
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala hadi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani UKAWA imesajiliwa kama ni chama? Kwa hiyo watalazimisha kila chama kusimamisha mgombea? Ni makubaliano tu ya vyama kuamua kuachiana majimbo, hakuna sheria itakayoweza zuwia hivyo. In 2010, Lipumba alisema apigiwe kura JK. 2015 Mrema alisema apigiwe kura JPM na hawa hawakuwa na UKAWA wala UFUNIKO!
 
Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu

Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim kuunganisha umoja ambao utaendelea kuwapa homa ccm itafika mahali vyombo tetezi kwa ccm vitachoka maana wao wenyewe wanaimarisha upinzani imara bila kujijua

Act kuna Maalim na Zitto

Chadema kuna Mbowe na lissu ,lema na john heche pamoja na mnyika na viongozi wanawake wenye nguvu.

Nafikir hapo juu unaona serikali ya ccm inachotengeneza bila wao kujijua maana huku chini kuna wafuasi kamili wana mabadiliko.

Game changer!
Siku zote kuna mabadiliko tu - what you do na mabadiliko unayokumbana nayo ndo muhimu... Naona Maalim Seif kaamua kama kapinduliwa ye anapindua meza. Yaani hata ofisi za CUF ni private property? Sasa CUF itabaki na nini?

Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.

Hongera sana Maalim Seif kwa uamuzi sahihi muimalishe upinzani imara sasa tunategemea kupata watu wenye akili.
Postive idea, thank you.
 
Maoni yangu

Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.

Kwenye nafasi ya mwenyekiti jee? is change better than stagnation?
Kwanini mwenyekiti yeye hata siku moja hagombei urais, lakini anang'ang'ania nafasi ya uenyekiti?
 
CUF makali yalibaki visiwani kwasasa imekufa kabisa.Lakini najaribu kujiuliza wapo waliodai ACT ni CCM 2 kwa hiyo upinzani unaelekea wapi?
 
Sheria iliyotengenezwa na nduli si sheria halali. Anadai katiba mpya si kipaumbele chake wakati huo huo anakuja na vijisheria vyake vya kidikteta ili kuzidi kukandamiza opposition parties.

Na si hivyo tu mkuu, hata kugombea nafasi yoyote Maalim Seif hataruhusiwa. Maana sheria mpya inamtaka kukaa miaka 3
 
Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu

Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim kuunganisha umoja ambao utaendelea kuwapa homa ccm itafika mahali vyombo tetezi kwa ccm vitachoka maana wao wenyewe wanaimarisha upinzani imara bila kujijua

Act kuna Maalim na Zitto

Chadema kuna Mbowe na lissu ,lema na john heche pamoja na mnyika na viongozi wanawake wenye nguvu.

Nafikir hapo juu unaona serikali ya ccm inachotengeneza bila wao kujijua maana huku chini kuna wafuasi kamili wana mabadiliko.

Game changer!
Siku zote kuna mabadiliko tu - what you do na mabadiliko unayokumbana nayo ndo muhimu... Naona Maalim Seif kaamua kama kapinduliwa ye anapindua meza. Yaani hata ofisi za CUF ni private property? Sasa CUF itabaki na nini?

Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.

Hongera sana Maalim Seif kwa uamuzi sahihi muimalishe upinzani imara sasa tunategemea kupata watu wenye akili.
Anayeua kwa upanga nae hufa kwa upanga. Maalim alimfukuza Mapalala naye sasa kafukuzwa. Hakika nakuapia ACT itakuwa mali ya WaZanzibar
 
Back
Top Bottom