Hahaaa nimejisikia kucheka kalagha baho eti uchawi kwa vile wewe mwanga basi unaona wote jamii yako kajipange mdau wakati ni ukutaHUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Ati ushamba?kivipi fafanua mana kila kabila lina taratibu zake na tamaduni zake,,sasa huo ndo utamaduni wa wachagaa wewe kama haukuhusu utauitaje ushamba????mbona nyie mnachezana ngoma sisi hatujaita ushambaHUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Duu eti hutakaa uolewe na hili kabila haya kaolewe na chasaka wenzio mkaishi hukoo uchasakani karibu na simbaWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
ni wewni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Endelea na fikra za kiumaskini hizo,au wewe ndo mzindikajiaa wapi utajifunza Kichaga lini wakati wenzio hapa tunaongea lugha ya kichawi tu.
hizi safari za mwisho wa mwaka sisi wenzenu tunaenda kwenye ibada za mazindiko migombani. so, hata kwa kupanda bajaji piga ua lazima niende!
Weee nawe umetokea msitu ganiChuki ya nini wanajamvi?
Hamna binadamu ambaye DNA yake imeandikwa ni msukuma, mchaga, mpare, mmakonde n.k
Binadamu wote ni sawa. Makabila is just a social construct term ku'categorize watu wenye asili moja kijeografia, kitamaduni na kiasili.
Lakini deep down in our genomes, cells and our atomic composition hamna tofauti kati ya mzungu au mweusi,mchaga au msukuma. There is only one race duniani. And that race is human beings. Achenini kusemana kwa tofauti ya ukabila ni ushamba na mambo yaliyopitwa na wakati.
Nakupenda sana, kama hujaolewa tuwasilianeHa ha wakusamehewa bure tu hao
Hali ya uchumi ni kweli ni mbaya mnoo tena mnoo ila tunachofanyaga tunajibana kwa aiji ya safari ya desemba unajitahidi kumake kwa namna yoyote ileHivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.
Aibu ya kufungia mwaka hii.
Aise sikuzote najuaga we ni Mwanamke... Unisamehe bure lakiniNakupenda sana, kama hujaolewa tuwasiliane
Shida iko wapi mkuu. Kuna shida gani?Weee nawe umetokea msitu gani
Hakuna jambo la msingi kama hili wa2 wa Kilimanjaro tunacho kifanya. Misba/ zarura/harusi nk tunaendaga but sio familia mzima ila Hizi taree nilazma tuondoke familia mzima tukawaone wazaz + wababu/ bibi pamoja na kufahamiana na kushauriana kifamiliaaNi kweli,mimi kwetu naenda bila kuanza kupanga bajeti wala malengo,ili mradi pametokea dharula,kama vile msiba,mgonjwa,harusi, Mama au Baba ananiita na lolote linalotakiwa mimi niwepo nafika iwapo tu ninao muda huo.
Nikuambie kitu ni bora uishi na mchawi kuliko mnafiki manafiki ni watu wabaya sanaShida iko wapi mkuu. Kuna shida gani?
Unaposema nimetokea msitu gani unamaanisha nini labda?
Acha tabia za kibaguzi ni kitu kibaya sana. Kama umekosa cha ku'comment kaaa kimya.
Usingeniuliza basi kama unajua ni "juu yangu"It's up to you , mind your business bro
HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
wamekuambia wanaenda December tu? Acha kiherehere kwani hujui kuwa ulimbukeni kwako kwa wengine ni utamaduni?ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.