Hii ndo familia inayomiliki dunia!!

Hii ndo familia inayomiliki dunia!!

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,543
images (5).jpgimages (11).jpgdownload.jpg
5 Sons of rothschild. Rothschild family tree. Rothschild HQ.

Hii ndiyo familiya ya kiyahudi inayotawala ulimwengu na inamiliki nusu ya uchumi wote wa dunia kama unavyomiliki kiatu wanayomtandao wa mabenki makubwa ulimwenguni, teknolojia, real estates, viwanda,pepsi cola, coca-cola few to mention, migodi [GGM] ndani, hotels 5*, media, serikali, wanakopesha serikali duniani, NATO ni mali yao na ndio facilitators wa new world order [NWO] to dominate it on their hands wanayo political power influence world wide kwenye mataifa yote makubwa unayoyajua yani in short wao ndo money creator.

wanayohistoria ndefu sana duniani na masuala yote makubwa duniani kama vita, n.k they are behind, more details search.
 
wapo wao na familia nyingine ya kiyahudi rockenfeller ambao federal reserve ya marekani wanaihodhi wao.wana msemo mmoja 'kumiliki mzunguko wa pesa'
 
wapo wao na familia nyingine ya kiyahudi rockenfeller ambao federal reserve ya marekani wanaihodhi wao.wana msemo mmoja 'kumiliki mzunguko wa pesa'

sasa hao rockenfeller ni familia moja na Rothschild ni moja kati ya watoto wa5 wa rothschild ambao ni Solomon, Nathan, Jacob [James] ambaye huyu ndo alikuwa clever kuliko wote, Carl na Amschel ambao walisambazwa maeneo tofauti ya ulaya miaka ya 1770 ambao walijikita kwenye biashara ya cash reserve, diamond, na gold.
 
View attachment 97557View attachment 97558View attachment 97556
5 Sons of rothschild. Rothschild family tree. Rothschild HQ.

Hii ndiyo familiya ya kiyahudi inayotawala ulimwengu na inamiliki nusu ya uchumi wote wa dunia kama unavyomiliki kiatu wanayomtandao wa mabenki makubwa ulimwenguni, teknolojia, real estates, viwanda,pepsi cola, coca-cola few to mention, migodi [GGM] ndani, hotels 5*, media, serikali, wanakopesha serikali duniani, NATO ni mali yao na ndio facilitators wa new world order [NWO] to dominate it on their hands wanayo political power influence world wide kwenye mataifa yote makubwa unayoyajua yani in short wao ndo money creator.

wanayohistoria ndefu sana duniani na masuala yote makubwa duniani kama vita, n.k they are behind, more details search.
funguka
 
Hii ndiyo familiya ya kiyahudi inayotawala ulimwengu na inamiliki nusu ya uchumi wote wa dunia

Wanaweza kuwa matajiri na wana influence kubwa, lakini kumiliki nusu ya uchumi wa dunia
na kutawala Dunia haiwezi kuwa kweli.
 
Familia ya SHETANI
Utajiri ni wa Mungu Bujibuji,"
wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka."
UFU. 5:12
 
Mkuu unaweza kuthibitisha?
Fahari Na milki ya Dunia hii ni Mali ya shetani.
Luka 4:5-6
5 Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.
6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.
 
anayetawal dunia ni shetani kwaiyo dhairi shairi ni shetan hawa ten kwel kwel yani
 
Hizo familia zipo tau umesahau The Rockefeller na Morgan families
 
Back
Top Bottom