Hii Ndo Bongo Buana, Katikati Ya Barabara

Hii Ndo Bongo Buana, Katikati Ya Barabara

Angekua ni Baba yako huyo au ndugu yako ungempiga picha na kumuanika hapa? What if wewe ndo ungekua huyu konda halafu mtu akupige picha na kukuanika mtandaoni ungejiskiaje??
Yaani kwa ujinga anaoufanya ametendewa haki kabisa.

Hilo jitu linachafua mazingira na wewe uaona ameonewa?
 
Konda anamuwazaga mtu kwani? Hapo anajiona yupo toi kabisa!
 
Yaani kwa ujinga anaoufanya ametendewa haki kabisa.

Hilo jitu linachafua mazingira na wewe uaona ameonewa?

Kwahio adhabu / Hukumu ya kuchafua mazingira ni kumpiga picha huyo mtu akiwa anajisaidia na kumuaminika Mtandaoni? Kazi ipo!
 
Kwahio adhabu / Hukumu ya kuchafua mazingira ni kumpiga picha huyo mtu akiwa anajisaidia na kumuaminika Mtandaoni? Kazi ipo!
Adhabu maridhawa kabisa hiyo, plus ile ya elfu hamsini. Watu jiji wamtafute huyo atoe hamsini.
 
Out of the topic....

Huja lock milango ya gari

Kioo kiko wazi nusu (kaa chonjo na vibaka kwenye foleni).

Wataalam wa ku zoom watagundua namba za usajili wa gari aliyo mpiga picha.

BTT...

Kama sio mkojo wa pombe ambao ni ngumu kuubana, alitakiwa ajipange kuchii kwenye vituo vyenye vyoo ya kulipia, haihishii tuu KUJISAIDIA.... Bali KUJISITIRI....

Sasa huyo konda hajajisitiri....waaa mambo hadharani.

Aibu Yako..... Hata Weewee.....
 
Duuh! Foleni imezua mambo.

Ila nasikia hii ipo sana hasa kwenye hayo mafoleni yenu huko mijini kuna wengine wakibanwa huwa wanadiriki hadi kukojoa kwenye chupa za maji kisha wanarusha nje gari zikitembea hasa wale wenye private cars.
 
Back
Top Bottom