Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 643
- 619
Hakuna cha gesi nyongo mkalia ini atafanya yake huko halafu mtu mzima anaingia shamba kupiga kaziHapo gesi tumboni sio mchezo
Huyo anapata kisukari na presha kama kawaidaKisukari na presha atasikia kwa jirani..
Kuna jamaa alipanda nayo menyu kama hiyo kwenye gari ile anafungua ili ale abiria wa karibu yake wakamuomba ache wako tayari wamnunulie chips kuku
Walijua atawakomesha njia nzima. Ingekuwa mwendo wa "ushuzi wa ngomani" mwanzo mwisho. Mtu anajamba ushuzi mkali hadi abiria wakisikia harufu yake wanapaliwa.Kuna jamaa alipanda nayo menyu kama hiyo kwenye gari ile anafungua ili ale abiria wa karibu yake wakamuomba ache wako tayari wamnunulie chips kuku
Sisi kiboko wallah, kasoro tu hatuishi majini, YAANI NA NOKIA TOCHI NAYO NI ASILI YETU...😀😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa alipanda nayo menyu kama hiyo kwenye gari ile anafungua ili ale abiria wa karibu yake wakamuomba ache wako tayari wamnunulie chips kuku
Plus kiunguliaHapo gesi tumboni sio mchezo