Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Hapo hakuna siri. Sidhani kama kuna mwana CCM asiyejua haya aliyoandika, wana ccm wananufaika ndani ya hiyo siri.
 
hahahahah umefulia kweli,CDM ndio nzuri inayomwagia watu tindikali na kukodisha vikosi vya kuleta vurugu kutoka nchi za jiran!!ktk uongoz wenu watu wakiandamana si ndo mtawaua wote
 
Sasa hapo kuna siri yoyote uliyotoa au ni mwendelezo wa makelele ya Slaa anapokuwa jukwaani? We Mwanakijiji maandiko yako mengi huwa hayana mashiko kabisa na yanabeba maelezo marefu yanayojirudiarudia. Unashindwa hata na Kubenea kwa kujenga hoja zenye mvuto lakini kwa kutumia maneno machache.
Mwita25 huwezi kuelewa maana wewe ni uzao wa majoka yenye magamba!!!!!!!! Huamini kuwa CCM ndilo chimbuko la uozo wote unaitafuna Tanzania. Basi wewe ni kilaza wa mwisho kama huwezi kuona kuwa Richmond pamoja na IPTL, Songas ndio mwanzo wa kufilisi nchi kwa umeme wa majenerator. Wala wana magamba hawana tena njia nyingine ya kulikwamua taifa letu na janga hili la umeme bali kutumia majenerator !!!!!!!!!
Bila shaka wewe unazo faida zako toka kwa wana magamba Nape, Wasira, Sita and CO unashiriki kulididimiza taifa letu tulipendalo!!!!!!! Za mwizi arobaini tuu utakamatika kaa ukijua!!!!!!!
 
Sasa hapo kuna siri yoyote uliyotoa au ni mwendelezo wa makelele ya Slaa anapokuwa jukwaani? We Mwanakijiji maandiko yako mengi huwa hayana mashiko kabisa na yanabeba maelezo marefu yanayojirudiarudia. Unashindwa hata na Kubenea kwa kujenga hoja zenye mvuto lakini kwa kutumia maneno machache.
<br />
<br />
SASA WEWE MWITA MBONA UNAONGEA KAMA K.. USIWE MJINGA KWA MATATIZO YA WENGI,MIMI UNANIKERA ILE MBAYA USIWE ***** JUKWAA ZIMA LINAPINGANA NA WEWE JINSI AMBAVYO HAMNA MARKET MMEBAKI JINA LAZIMA WATANZANIA WAWATOE TU NI KHERI TUKAWA KAMA LIBYA BUT NOT TO TOLERATE TORTURING LIKE THIS WE MUST DO IT AND WE WILL. WATU WAMECHOKA NA UHANITHI WENU MBWA NYIE
 
Sasa hapo kuna siri yoyote uliyotoa au ni mwendelezo wa makelele ya Slaa anapokuwa jukwaani? We Mwanakijiji maandiko yako mengi huwa hayana mashiko kabisa na yanabeba maelezo marefu yanayojirudiarudia. Unashindwa hata na Kubenea kwa kujenga hoja zenye mvuto lakini kwa kutumia maneno machache.
<br />
<br />
Ulishaambiwa mapema kuwa kama wewe ni mnazi waccm usisome maana utapandwa na hasira, sasa ona yaliyokutokea utakufa na presha mkubwa, pole sana
 
MM unaua bendi ya magamba kabisa kipindi hiki muhimu cha uchaguzi wa Igunga kifupi nimeipenda imejaa uhalisia zaidi ambao mtu haitaji elimu kubwa kuujua ukweli huu ambao ni dhahiri kulingana na matokeo yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom