Hii ndiyo Mahakama ya Kadhi inayodaiwa

Wewe siyo muislam wewe?,ok kweli kama kweli siyo mwislam basi utakuwa msabato maana sidhan jama kuna mkristo, anaweza kukubaliaba na hili janga.

woga bila sababu ya kuogopa ndo chanzo cha matendo mabaya. Ni vizuri kupinga kitu kwa kutumia hoja.
 
Religious profiling iko wapi wakati hakimu akishaajiliwa kwa kutumia mfumo wa kawaida wa ajira ndo anaweza kusajiliwa? ... Hakuna hiyo kitu. Hata mahakimu waislamu si wote watakaosajiliwa kuwa makadhi kwani si wote wamesomea Islamic law. Anyway ni mtazamo tu. Case zinazoenda kule kwa kadhi ni kesi za kawaida ambazo leo hii bado zinaenda mahakamani na kuamuliwa kwa kutumia sheria za kawaida. Sasa kwa wale watakaokuwa wamekubaliana kutumia sheria za kiislam ni vizuri tu kutoa nafasi kwa mfumo uliopo kutoa hukumu hizo. Sioni shida hapo, ikiwa siasa hazijaingilia. Hili likichukuliwa kama suala la kisheria na likaendeshwa hivyo, hakuna shida.

Nani kawakataza kuanzisha na kuhukumu kwa kutumia mahakama za kiislam ?
Kwa nini wasitumie mahakama hizo hata sasa ? Kama hukumu hizo ni sehemu ya ibada nani amepinga waislam kutimiza ibada zao ?
Kwanini wanataka makafiri wawe ni sehemu ya uanzizhwaji na uendrshwaji wa ibada za mahakama ya kadhi ?
Hebbu tuache ujinga katika kujadili swala hili. Waislam wanayohaki ya kuabudu kadri ya deen yao.
Issue itakuja pale ambapo mahakama ya kadhi itafungisha ndoa ya kabinti ka miaka ,6. Sunna ya mtume wao....
 
👌👌👌👎👎👎👊👊👊

I swear ALL OVER MY DEAD BODY.....NYIE WAISLAM SASA MNATUTAFUTA SASA....!!!!

GOVERNMENT WILL NEVER PAY ANY CENT TO RUN THIS COURT....NEVER IN TZ....!!!!

ANZISHENI...ENDESHENI WENYEWE....FULL STOP...!!!

SERIKALI ITATAMBUA NA KUPEWA KIBALI...BUT NEVER I SWEAR TO PAY ANY MONEY FOR THIS COURT..!!!

HII SI NCHI YA KIISLAM.....THIS IS NOT ISLAMIC REPUBLIC....!!!

Na haya nayosema NDIO ITAKAVYOKUWA....!!! SASA LETENI UHUNI MUONE...!!!!

HAKUNA PESA SERIKALINI ZA KIPUUZI PUUZI HAPA...JIGHARAMIENI WENYEWE KWA MAMBO YENU YA KIIMANI...VYA DEZO HAKUNA...!!!

KWA HILI MSAHAU MILELE....KULIPIWA NA SERIKALI...HILO HALIPO...!!! Kwanza katiba pendekezwa swala la KADHI COURT HALIPO...cjui mnaongea na nani hapa...!!!


Serikali ipi iwalipie nyie shuleless...!! Jitegemeeni...full stop..na kwa hili TUTAWEKA HATA NN...WE WILL PAY ALL IT TAKES....BUT GOVERNMENT WILL NEVER GIVE MONEY KWA MAMBO YENU....HAKUNA HICHO KITU...NA HAKITA KUWEPO....

NIMEMALIZA...!!!
 
Ndugu, rudia hiki kipengele naupitie upya post yako.

13.2 MAPENDEKEZO YETU:
Kuna ulazima wa kuiwekea mahakama ya kadhi msingi wa Kikatiba ili uhalali wa kuwepo kwake na utendaji wake usihojiwe na mahakama nyingine ili kuepusha migongano na migororo huko mbeleni.
Nakubaliana na ww ndugu, lakini ni rahisi kuwaambia hao watakaohukumiwa na hiyo mahakama kuwa hawana nafasi ya kukata rufaa kama kweli mahakama ya kadhi ndiyo pekee inayotoa haki...
 
Wewe ni kalaza kweli. Yaani Serikali tukufu iache kuimarisha taasisi zake za elimu na afya na badala yake inapeleka fadha za ruzuku kwenye taasisi za kibiadhara za elimu na afya za makanisa. Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Yaani Serikali tukufu iache kuimarisha mahakama zake zilizo choka na zenye mrundikano wa kesi na badala yake ianze kugharamikia ajira za masheikhe kwenye mahakama za kadhi. Huu ni upumbavu mwingine wa hali ya juu sana.

Serikali tukufu piga chini hawa matapeli wote wanaotumia mgongo wa dini waende wakawatapeli waumini wao huko makanisani na misikitini ili waendeshe hizo taasisi zao.
 
Haya ndio maajabu ya kuongozwa na kiongozi msanii. Muhimu hapa ni ukweli kuwa watapigwa danadana ili tu mradi kura zao ziwabakize madarakani.
 
[QUOhTE=Kinjeketile;11801434]Wewe ni kalaza kweli. Yaani Serikali tukufu iache kuimarisha taasisi zake za elimu na afya na badala yake inapeleka fadha za ruzuku kwenye taasisi za kibiadhara za elimu na afya za makanisa. Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Yaani Serikali tukufu iache kuimarisha mahakama zake zilizo choka na zenye mrundikano wa kesi na badala yake ianze kugharamikia ajira za masheikhe kwenye mahakama za kadhi. Huu ni upumbavu mwingine wa hali ya juu sana.

Serikali tukufu piga chini hawa matapeli wote wanaotumia mgongo wa dini waende wakawatapeli waumini wao huko makanisani na misikitini ili waendeshe hizo taasisi zao.[/QUOTE]
hahaha naona unapresent wale wenzako wasio na dini yoyote, na kama serikali kweli inafanya hivyo, piga chini wote..
 
Wakuu
Mwandishi anapotosha wasomaji anapodai kuwa kuna MOU kati ya serikali na makanisa kuhusu pesa wanazopewa kwenye huduma za mahospitali na mashule.
Haya mahospitali yanahudumia wakristo tu? au raia wote.

Ndugu zangu watanzania huu nimtazamo wa mtu ambaye ana ajenda yake maalumu.
Baada ya hili la Kadhi, linalofuata ni Islamic state. Na kipindi kama hiki ambacho serikali iko likizo vitu via kuvunja umoja wetu msishangae vikipitishwa kiholela.
Tunabahati mbaya kwa kuwa na rais mdini ambaye halioni hili na madhara yake. Waziri mkuu wetu ni dhaifu hawezi hata kidogo kufanya kazi kwa kujiamini.
Mawaziri waliowengi ni mamuma hilo litatupa shida.
Watanzania tujifunze kutoweka rehani nchi yetu kwa kuwapa uongozi watu wasio na uwezo,wachumia tumbo n.k.

Huyu Pinda anataka kuleta majanga.
 
Religious profiling iko wapi wakati hakimu akishaajiliwa kwa kutumia mfumo wa kawaida wa ajira ndo anaweza kusajiliwa? ... Hakuna hiyo kitu. Hata mahakimu waislamu si wote watakaosajiliwa kuwa makadhi kwani si wote wamesomea Islamic law. Anyway ni mtazamo tu. Case zinazoenda kule kwa kadhi ni kesi za kawaida ambazo leo hii bado zinaenda mahakamani na kuamuliwa kwa kutumia sheria za kawaida. Sasa kwa wale watakaokuwa wamekubaliana kutumia sheria za kiislam ni vizuri tu kutoa nafasi kwa mfumo uliopo kutoa hukumu hizo. Sioni shida hapo, ikiwa siasa hazijaingilia. Hili likichukuliwa kama suala la kisheria na likaendeshwa hivyo, hakuna shida.

Ni suala la waislam kuwa wazi na kuanika kila kitu hadharani kuhusu muundo, kesi zitakazoamuliwa na uhusiano wake wa kimaamuzi na jamii nyingine zilizo nje ya imani yao. mpaka sasa bado najiuliza, endapo kwa akili yake na utashi wake mtu akaamua kubadili dini kutoka uislam kuwa dini nyingine, sheria inasemaje juu ya hilo? (nilishawahi kusikia kuna sheria kali inamuhusu huyu mtu, nasisitiza NIMESIKIA).

Mtu akiwa muislamu, akaoa mwanamke wa kikristo au dini nyingine, sheria inasemaje hapo kwa upande wa malezi na mirathi?

Kama hawatakuwa tayari kuweka hadharani jinsi sheria, haki na taratibu za mahakama, sidhani kama watu wa imani nyingine watakuwa tayari pia kuwasupport juu ya hii kitu.

Angalizo: kama wanahisi ni suala la kiimani zaidi na halifai kuliweka wazi kwa imani zingine, wakumbuke Tanzania ni nchi isiyo na dini, hivyo viongozi wa serikali kutoka dini mbalimbali wanaweza kuwa juu ya mahakama hiyo.Kama viongozi hao hawatokuwa na uelewa wa kutosha, yaweza pelekea kuanzishwa mjadala wa kuiondoa kutokana mgongano wa kiimani juu ya maamuzi ya mahakama hiyo.
 
Ngamia aliomba kuingiza kichwa mara mabega na mwishowe kila mtu anajua kilichoendelea. Huko Saudia watu wazima wanachapwa viboko hadharani, na hivi leo kukata kichwa cha mtu asiyejua msatari wowote katika kurani ni jambo la kawaida. Tusubiri tuone

Mkuu malizia kwanza pombe kichwani ndio uje kuchangia! Usikute hapo una mkojo wa msela YESU
 
Wanasema uislamu umeweka mfumo mzima wa jinsi ya kuishi. Ok serikali imesema endeleeni na mfumo wenu, sasa cha ajabu mnataka makafiri waendelee tena kuwapangia mfumo wa hizo mahakama na sifa za makadhi, hii ni ajabu sana. Hii dini ni vurugu tupu. Haya serikali iliwasaidia kuunda BAKWATA leo mnasema humuitambui, kwa hiyo mnata iwafanyie kitu kingine ambacho baadaye mtasema sio tena. Nendeni sayari ya Pluto
 
Piga chini mahakama ya kadhi, vunja MOU.
Waende wakawatapeli waumini wao misikitini na makanisani huko.

True. Serikali ivunje hiyo kitu MUO kwani ndio kelele ya waislamu. Baada ya hapo irudishe kule chuo cha Tanesco Moro. Na hizi kadhi zibaki huko nje ya serikali. Yaani asiwepo wa kubebwa in any way.
 
Mbona watoa maoni kwenye hizo taasisi ni vidume tu?

Wanawake wananafasi gani katika uislamu hasa kwenye mambo kama haya yanayowahusu?
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Muswada huu utaligawa taifa mapandemapande, utaligawa bunge mapande, ingawa mahakama ya kadhi ni muhimu, lakini Tanzania yenye umoja,amani na mshikamano ni muhimu zaidi! Serikali na wabunge walifikirie zaidi taifa kuliko makundi yao, vinginevyo tutaingia kwenye uchaguzi mkuu tukiwa tumegawanyika na ni jambo la hatari.

Mkuu heshima yako kwa kutambua hatari wanasiasa wanayoileta mbele yetu. Dini ni sehemu rahisi kabisa kusambaratisha umoja katika nchi yetu. Sijui upofu huu wa kudhani tuna amani na umoja ni akina nani wanauendeleza? Jamani wote tumekuwa tukishuudia jinsi gani mijadala ya dini inavyowagawa wabunge mpaka wananchi.

Leo nashangaa hawa wanaopigia chapuo mambo ya dini wanalitakia nini taifa? Ngoja mjadala uanze ndipo wengi watagundua udhaifu wa mshikamano wetu kama watanzania.

Nilibahatika kwenda vijijini wakati wa mchakato wa kutafuta wawakilishi wa mabaraza ya katiba, nilishangaa niliyoyakuta huko; manake kule watu walikuwa wanachaguliwa kwa dini zao japokuwa mjini hapa tulikuwa tunaona wanapigana vikumbo kwa mujibu wa vyama vyao. Na sababu pekee ya dini huko vijijini ilikuwa eti ni mahakama ya Kadhi!

Msemo huu wa waswahili wengi tunajua maana yake "Mkataa pema pabaya panamwita"!
 
Mbona watoa maoni kwenye hizo taasisi ni vidume tu?

Wanawake wananafasi gani katika uislamu hasa kwenye mambo kama haya yanayowahusu?
FaizaFoxy

Wanawake wa Kiislam tumepewa hadhi ya kuwa na ma manager wetu ambao ni wanaume. Na good managers wanajuwa ma boss zao tunataka nini.
 
Waislamu hawang'ang'anii kuanzishiwa wala kuendeshewa Mahakama ya Kadhi. Wanachotaka wao ni Mahakama hiyo kutambulika kisheria katika mfumo wa kimahakama.

Yaani, amri na uamuzi wa Mahakama ya Kadhi ziweze kutambuliwa,kuheshimiwa na kutekelezwa (pale inapobidi)katika mfumo wa mahakama wa kinchi. Ndiyo kusema,Mahakama ya Kadhi itambulike kama mahakama nyinginezo (za Mwanzo, Wilaya/Hakimu Mkazi, Kuu na Rufani;Mabaraza na Tume). Hakuna zaidi.

Mahakama hii ya Kadhi,kwanza iwalete pamoja Waislamu kuliko kuwatenganisha. Waislamu wapatane na kukubaliana hoja za msingi na kuziwasilisha Serikalini. Kwasasa, Muswada wa Mahakama ya Kadhi uondolewe Bungeni. Nauona mwisho wa BAKWATA!


Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mchawi number moja wa waislamu ni ccm iliyowaahidi mahakama ya kadhi

Mchawi number mbili ni BAKWATA

askofu wangu nayemuhishimu sana ametutangazia tujiandikishe kwa wingi na tupige kura ya HAPANA kwa katiba ya chenge na sitta
 
haya yote chanzo ni ccm kufanya jambo hili kuwa ajenda ya kisiasa badala ya kidini tangu mwaka 2005 ccm wameiweka kwenye ilani sasa unategemea nini kama ilani hamjatekeleza
 
Back
Top Bottom