Hii ndiyo kampuni ya Arab Contractors itakayojenga bwawa la Stiegler's Gorge

Tunaweza kuwaomba hata Wa Israel
Naishauri serikali wakati Wamisri wanajenga bwawa hilo waitumie fursa hiyo kuzungumza nao watuletee ujuzi wa kilimo cha irrigation. Wamisri ni mabingwa wa irrigation duniani.
 
Hiyo ni biashara, ukiwa na pesa unatangaza tenda tu. Watakuja Wa Israel, Waturuki, Wamarekani, Wamisri, Wachina n.k
Tusianze juu huko.

Tuongee nao watuletee wale falahin (peasants) wa kandokando ya mto Nile waje kutupa ujuzi.
 
Kuna sehemu nyingine sana za kuondoa matumizi ya serikali kupeleka kwenye umwagiliaji.
Kwa upande wa irrigation wapo vizuri Sana tatizo ni kuwa Serikali yetu haijaweka kipaumbele kwenye kilimo
Kujenga irrigation system scheme ni gharama kubwa Sana sioni Serikali yetu kuwa inaweza kutoa nafasi ya Kwanza ktk kilimo.
Nimewahi kushiriki utafiti mwaka 2014 kilimo Cha umwagiliaji tunahitaji Trillion shs 35 kujenga scheme katika Kila kata zote Tanzania bara hii ni zaidi ya bajeti na kwa Sasa kata zimeongezeka gharama pia zimeongezeka Bei za vifaa zipo juu.
Serikali itaweza kutoa nafasi ya Kwanza ktk kilimo????????
 
Haya ni mawazo mufilisi, maendeleo ya Kilimo hayawezi kuletwa na peasants.
Japan inauza mpaka mazao yake nje na nusu mwaka mzima hawalimi na hakuna zaidi ya pesants.

Wakulima watajizaa wenyewe, kaa haujawajengeea uwezo peasants leo hii Tanzania. Tutabaki kuwa na "wakulima" wenye mitaji mikubwa na watawaajiri hawahawa peasants tunaoweza kuwanyanyua wakawa wakulima. Tutabaki na watu wengi tegemezi kama ilivyokawaida yetu, mpaka tumekuwa taifa omba omba.
 
Huelewei Peasants ni watu gani.
Rudi darasani.
Japan inauza mpaka mazao yake nje na nusu mwaka mzima hawalimi na hakuna zaidi ya pesants.

Wakulima watajizaa wenyewe, kaa haujawajengeea uwezo peasants leo hii Tanzania. Tutabaki kuwa na "wakulima" wenye mitaji mikubwa na watawaajiri hawahawa peasants tunaoweza kuwanyanyua wakawa wakulima. Tutabaki na watu wengi tegemezi kama ilivyokawaida yetu, mpaka tumekuwa taifa omba omba.
 
Naishauri serikali wakati Wamisri wanajenga bwawa hilo waitumie fursa hiyo kuzungumza nao watuletee ujuzi wa kilimo cha irrigation. Wamisri ni mabingwa wa irrigation duniani.
Kwani irrigation si unajifunza hata Youtube tu, cha msingi tupate hiko bwawa kwanza
 
Japan inauza mpaka mazao yake nje na nusu mwaka mzima hawalimi na hakuna zaidi ya pesants.

Wakulima watajizaa wenyewe, kaa haujawajengeea uwezo peasants leo hii Tanzania. Tutabaki kuwa na "wakulima" wenye mitaji mikubwa na watawaajiri hawahawa peasants tunaoweza kuwanyanyua wakawa wakulima. Tutabaki na watu wengi tegemezi kama ilivyokawaida yetu, mpaka tumekuwa taifa omba omba.
Japan ni net importer wa chakula. Labda tuwe na balance ya kuwa na peasants na wakulima wakubwa. Au tuwe na limit ya ukubwa wa mashamba.
 
Back
Top Bottom