Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
Ila tumekubaliana kuwa kwenye top 10 Israel haipo si ndio? Tuanzie hapo kwanza Myahudi wa ChanikaWewe wasema hakuna wa kukupinga lakini pamoja na hayo huwezi kubadirisha kitu chochote Magaidi watapigwa bila shida yoyote. Kubwabwaja kwako hakuwezi kubadirisha lolote kuhusu Military Mighty ya Israel, wewe endelea kuumia tu na ukitaka meza wembe!!
Hamas, Hezbollah na Houth ndio level za Israel na bado wanawatoa jashoMimi najua Israel haipo hata kwenye 100 bora!!! Lakini Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran wanaujua moto wake!!
ushabiki maandazKwa ujinga wako unataka IDF uwapangie nini cha kufanya huo ni Undezi kabisa!!
Unataka waipige Iran mara ngapi wakati waliwatuma wanawake wakaenda wakawapiga na kurejea salama na Iran ikasema watalipiza kisasi lakini hawajalipiza hadi leo.Echolima1 una mapenzi yanayokutia upofu lakini kubwa zaidi huna ufahamu wa mambo ya Dunia
1. IDF unayosema inafanya kazi kutoka Pentagon USA. Hakuna shambulio la IDF lisiloidhinishwa Pentagon
2. USA mwaka huu imeipata Israel msaada wa Silaha za Dollar Blilioni 20 sawa na Tsh 50Trilioni (Bajeti ya TZ)
3. Kwanini unadhani IDF inashinikiza USA wapige Iran? Kwanini wasiende wenyewe
4. Kwanini Israel ilishinikiza Sadam na Gadafi washughulikiwe!
5. Silaha unazosema zimetatuaje tatizo la middle east!
Sina chuki yoyote na Taifa la Israel. Ninachukizwa na jinsi mlivyo kuwa ''manipulated' kiasi cha kujitoa ufahamu na wengine kwasababu tu mnadhani ni suala la Dini. Najaribu kukuelewesha kwasababu inaonekana upo Dunia yako. Nikilinganisha na Raia wa Kenya, Uganda au Zimbabwe au South ANguruvi3 inaonyesha Una chuki zako binafsi juu ya Israe!!
Hakuna tatizo kabisa. Ndio maana nakueleza kwamba unachokiona si IDF ni nchi Washirika.1. Israel Ina washirika wake (Allies) kuna shida gani Waki share information?
Hakuna shida, ndio maana nakuambia ukiona wanatengeneza Silaha si wao, kuna Wakubwa wanatengeneza. Mfano, wakati wa Vita na Hamas, Israel iliagiza Iron Dome kutoka USA.2. Israel Waki pasta msaada kutoka Marekani wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako? Wewe unaona kuna shida gani?
Ndio maana nasema huna ufahamu. Video ya BB Nyahu akizungumza hadharani ipo you tube4. Hakuna udhibitisho wa wazi kuonyesha Israel ilishinikiza Saddam na Gaddaf waondolewe.
Unajichanganya! hapo juu unasema hakuna ushahidi halafu hapa unaweka ushahidiHata hivyo ma Dikteta hao kwa pamoja walikuwa wana mpango wa kuitishia Israel kuishambulia sasa wewe unaona kuna ubaya gani Israel kushinikiza Madiktea hao waondolewe kama wao wenyewe tu walitaka kuiondoa Israel 🇮🇱?
Sawa5. Silaha za Israel kazi yake si kutatua tatizo la Mashariki ya kati silaha hizo ni kwa ajili ya kujihami na kujilinda na maadui wanaotaka kuiangamiza Israel 🇮🇱.
Hawana Silaha! wanasaidiwa. Lazima ufike wakati hizi mada za middle east ujifunzeWewe tena unaona wivu sana Israel ikiwa na silaha zake za kujilinda unatamani kosa kabisa ili wafutwe kwenye uso wa dunia!! Kwa taarifa yako tu ndoto yako haitatimia utafutika wewe na uko wako na Israel itaendelea kuwapo.
How manipulated? Wewe unadai sisi tunadhani ni suala la dini huo ni uongo. Watu wote tunajua vita hiyo ni kati ya Ubinadamu na unyama uliofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023. Wewe unaweza kuni-Underrate upendavyo lakini ukweli utabaki palepale.Sina chuki yoyote na Taifa la Israel. Ninachukizwa na jinsi mlivyo kuwa ''manipulated' kiasi cha kujitoa ufahamu na wengine kwasababu tu mnadhani ni suala la Dini. Najaribu kukuelewesha kwasababu inaonekana upo Dunia yako. Nikilinganisha na Raia wa Kenya, Uganda au Zimbabwe au South A
Hakuna tatizo kabisa. Ndio maana nakueleza kwamba unachokiona si IDF ni nchi Washirika.
Mfano, Inasemwa Israel ilipiga Iran. Kwa mtu asiye na ufahamu ni kweli. Ipo wazi Duniani, Nchi zaidi ya 6 zilishiriki.UK ilisaidia 'angani kama Iran ingejibu. France ilisaidia katika logistic , US ilishambulia kwa kutumia Tomahawak missile tena ilibidi waje Askari 4,000 kutoka Pentagon .
Saudi Arabia ilisaidi njia za ndege , na Jordan ilisaidia kuruhusu anga
Mwisho wa siku Echolima unatuambia ni IDF. '
Hakuna shida, ndio maana nakuambia ukiona wanatengeneza Silaha si wao, kuna Wakubwa wanatengeneza. Mfano, wakati wa Vita na Hamas, Israel iliagiza Iron Dome kutoka USA.
Nchi za magharibi zilikuwa middle east kusaidia Israel.
Walipoachiwa Lebanon, walipata kipigo wakakubali kusistishwa mapigano.
Ndio maana nasema huna ufahamu. Video ya BB Nyahu akizungumza hadharani ipo you tube
US wanakiri Saddam hakuwa na Silaha walikwenda kumuondoa kwasababu alikuwa tishio
Dunia yote inafahamu sisipokuwa wewe
Unajichanganya! hapo juu unasema hakuna ushahidi halafu hapa unaweka ushahidi
Pili, Dikteta ni nani na nani anatoa hadhi hiyo!
Sawa
Hawana Silaha! wanasaidiwa. Lazima ufike wakati hizi mada za middle east ujifunze
Nikikusoma ! unasafari ndefu. Ninachojaribu hapa ni kukusaidia maana mapenzi yanakutia upofu.
You're better than this!
Unakuwa ''manipulated'' na habari zinazo kuwa controlled!How manipulated?
Ugomvi wa Palestina na Israel haukukuza October 7. 2023. Ubinadamuupi unaungelea!Wewe unadai sisi tunadhani ni suala la dini huo ni uongo. Watu wote tunajua vita hiyo ni kati ya Ubinadamu na unyama uliofanywa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023.
Nakuhakikisha Echolima, habari za Dunia huna ufahamu nazo. Najaribu kukusaidia kwasababu nimekusoma mara nyingi nikaona unahitaji msaada. Hizi habari za middle east achama nazo! HujuiWewe unaweza kuni-Underrate upendavyo lakini ukweli utabaki palepale.
Sina visingizio, nakufahamisha kuwa unachokiona au kusikia sicho!Naamini umenielewa vizuri maana kila swali ninalokujibu unanijibu “Hakuna tatizo” lakini kwenye maelezo yako umejaa visingizio lukuki kuwa Israel inasaidiwa na ukawatupia lawama kwa washirika wa Israel 🇮🇱. Unadai pia kuwa Israel iliagiza Iron-Dome kutoka Marekani na nchi zote za Magharibi zilikuwa Israel. Jibu langu la msingi ni kuwa hao ni washirika (Allies ) wa Israel wewe unaona shida gani wakipewa/Wakipata? Maana hao ni washirika ?
Hapana si suala la kupenda au kutopenda, ni suala la kukuelewesha. Jaribu kuwa ''positive'' ukifundishwa jambo.Ninakuambia Nchi zaidi ya 6 zilishiriki kushambulia Iran, haikuwa Israel pekee. Unaelewa?Umedai tena kuwa nchi zaidi ya 6 zilishiriki mimi nasema hata zingekuwa 100 maadam ni washirika hakuna tatizo. Inaonekana wewe hupendi Israel ijilinde nakuhakikishia utaendelea kuteseka milele maana katika maisha yako Israel haitashindwa vita na magaidi !!!
Silalami nakusaidia wewe! unatakiwa kushukuru kwa elimu ya Bure! Echolima wewe huna ufahamu nini kinaendelea. Unajua gazeti linaitwa Haaretz au Jerusalem Post! umeshawahi kuyasikia !Mwisho kabisa unaendelea kulalama Israel kusaidiwa na unadai hawana silaha wakati wanazo za kutosha kujilinda!!!!
MalawiHivi Abdul huwa anaishi Dar au Zanzibar?
Ukiondoa msaada wa 3.8B wanabaki na nini 90 hizo machine made on usa or germanKwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda.
Don’t mess with IDF!!
You are misinformed, Israel inatumia $300 billion iliotolewa na America in Millitary aids... Hivyo vifaa ni vya America na huo ujuzi wapewa na Intellegence ya America... Israel does not exist nchi yoyote inayotegemea nchi nyingine ili Kuendeleza maisha yao hio sio Nchi... ukiangalia Political and Economical meaning ya sehemu kuitwa Nchi Israel Hakidhi Conclusion Hawawezi kitu chochote bila Mkono wa Mmarekani Ndio maana Kuna Kundi Linaitwa "AIPAC"Kwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda.
Don’t mess with IDF!!
HAHAHA MILLITARY MIGHTY THOSE FOOLS ISRAEL ARE JUST MURDERS wanajiegemeza kwa Mgongo Wa AIPAC unataka kusikia kudondoka kwa Israel america amwambie sikupi hata 100 NDIO UTAJUA KIASI GANI WALE WEHU HAWANA KITU kwanza hakuna Taifa sio china,wala Russia anae muogopa Israel....MISINFORMED NA VIDEO ZA YOUTUBE NA GOOGLE NI AIPAC(AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFAIR COMMITTEE ) BILA HAO WAJOMBA ISRAEL HANA KITU SIO HAPA DUNIANI TUU HADI MBINGUNI MUNGU ALIWAAHIDI WATALIA NA KUSAGA MENOWewe wasema hakuna wa kukupinga lakini pamoja na hayo huwezi kubadirisha kitu chochote Magaidi watapigwa bila shida yoyote. Kubwabwaja kwako hakuwezi kubadirisha lolote kuhusu Military Mighty ya Israel, wewe endelea kuumia tu na ukitaka meza wembe!!
Umenikumbusha hadithi ya Sungura mjanja alipozikosa zile ndizi mbivu alisikika akibwabwaja “Sizitaki ndizi hizo kwanza ni mbichi” na wewe unaiponda Israel kwa sababu ya Mihemko yako binafsi au umelishwa Matango-Pori na Wafuga Midevu na Majini.HAHAHA MILLITARY MIGHTY THOSE FOOLS ISRAEL ARE JUST MURDERS wanajiegemeza kwa Mgongo Wa AIPAC unataka kusikia kudondoka kwa Israel america amwambie sikupi hata 100 NDIO UTAJUA KIASI GANI WALE WEHU HAWANA KITU kwanza hakuna Taifa sio china,wala Russia anae muogopa Israel....MISINFORMED NA VIDEO ZA YOUTUBE NA GOOGLE NI AIPAC(AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFAIR COMMITTEE ) BILA HAO WAJOMBA ISRAEL HANA KITU SIO HAPA DUNIANI TUU HADI MBINGUNI MUNGU ALIWAAHIDI WATALIA NA KUSAGA MENO
🤣 UMESIKIA WAPI HAYO UNAYOSEMA.... SORRY WHAT MILLITARY TECHNOLOGY AU TOOLS MADE IN ISRAEL? NA TAFUTA JE ISRAEL INAPASWA KUWA NA NUCLEAR?? NA NCHI YA ISRAEL NI IPI? MAANA BAADA YA HOLOCUST HAWAKUWA NA NYUMBANI NI REFUGEES....SIJUI MAANA YA MIHEMKO ILA NAIJULIA KWAKO YOU ARE MISINFORMED... KABISA KWAHIO AMERICA AKIENDA VITA NA CHINA ATASAIDIWA NA NANI? GERMANY ALISAIDIWA NA NAN KWENYE VITA YA PILI??Umenikumbusha hadithi ya Sungura mjanja alipozikosa zile ndizi mbivu alisikika akibwabwaja “Sizitaki ndizi hizo kwanza ni mbichi” na wewe unaiponda Israel kwa sababu ya Mihemko yako binafsi au umelishwa Matango-Pori na Wafuga Midevu na Majini.
Narudia tena kusema hili: Hakuna Jeshi lolote duniani linaloweza kupigana vita peke yake bila kupata msaada wa hali na mali kutoka sehemu yoyote. Hata Russia na Marekani hawawezi kupigana vita bila kusaidiwa na mtu.
Hizi propaganda za kusema Israel inapewa misaada ni Ujinga na Upumbavu unaotumiwa na wajinga kama wewe. Nakushangaa unalalamikia youtube,Google na AIPAC wakati hujui hao wote uliowataja ni Wayahudi. hujui Military mighty ya Israel wewe??
unaongea Sana naomba tafuta Mtu Anaitwa Jeffery Sachs alikua CIA Andika Hivi "Jeffery sachs on Israel Millitary Tactics" alfu ujue Uniambie "HAKUNA NCHI ITAIPIGA ISRAEL" sasa na mimi nakuambia hivi WATU WANAOITWA JEWS HAWANA NCHI YAO BALI WANAYO NCHI ILIOKUA INAMAKUBALIANO YA KUISHI PALESTIANS,JEWS AND CHRISTIANS LAKIN wao israel walifukuzwa kona zote duniani ndio wakaenda Palestine.... HIVI KWANZA WEWE DO YOU KNOW THE HISTORY OF ISRAEL... NAOMBA ANGALIA REAL HISTORY OF ISRAEL KABLA NA BAADA YA HOLOCUST....NDIO UONGE UNAYOONGEA KIU KWELI ANAEFAHAMU HISTORY YAO HAWEZI KUITA ISRAEL NI NCHI KAMWEEUmenikumbusha hadithi ya Sungura mjanja alipozikosa zile ndizi mbivu alisikika akibwabwaja “Sizitaki ndizi hizo kwanza ni mbichi” na wewe unaiponda Israel kwa sababu ya Mihemko yako binafsi au umelishwa Matango-Pori na Wafuga Midevu na Majini.
Narudia tena kusema hili: Hakuna Jeshi lolote duniani linaloweza kupigana vita peke yake bila kupata msaada wa hali na mali kutoka sehemu yoyote. Hata Russia na Marekani hawawezi kupigana vita bila kusaidiwa na mtu.
Hizi propaganda za kusema Israel inapewa misaada ni Ujinga na Upumbavu unaotumiwa na wajinga kama wewe. Nakushangaa unalalamikia youtube,Google na AIPAC wakati hujui hao wote uliowataja ni Wayahudi. hujui Military mighty ya Israel wewe??
we ambae huna mihemuko nipe maana Ya Neno "NCHI" AFU NIAMBIE ISRAEL IMEKIZI KWA KIPI KUITWA NCHIUmenikumbusha hadithi ya Sungura mjanja alipozikosa zile ndizi mbivu alisikika akibwabwaja “Sizitaki ndizi hizo kwanza ni mbichi” na wewe unaiponda Israel kwa sababu ya Mihemko yako binafsi au umelishwa Matango-Pori na Wafuga Midevu na Majini.
Narudia tena kusema hili: Hakuna Jeshi lolote duniani linaloweza kupigana vita peke yake bila kupata msaada wa hali na mali kutoka sehemu yoyote. Hata Russia na Marekani hawawezi kupigana vita bila kusaidiwa na mtu.
Hizi propaganda za kusema Israel inapewa misaada ni Ujinga na Upumbavu unaotumiwa na wajinga kama wewe. Nakushangaa unalalamikia youtube,Google na AIPAC wakati hujui hao wote uliowataja ni Wayahudi. hujui Military mighty ya Israel wewe??
Nataka tu kukujulisha kuwa🤣 UMESIKIA WAPI HAYO UNAYOSEMA.... SORRY WHAT MILLITARY TECHNOLOGY AU TOOLS MADE IN ISRAEL? NA TAFUTA JE ISRAEL INAPASWA KUWA NA NUCLEAR?? NA NCHINYA ISRAEL NI IPI? MAANA BAADA YA HOLOCUST HAWAKUWA NA NYUMBANI NI REFUGEES....SIJUI MAANA YA MIHEMKO ILA NAIJULIA KWAKO YOU ARE MISINFORMED... KABISA KWAHIO AMERICA AKIENDA VITA NA CHINA ATASAIDIWA NA NANI? GERMANY ALISAIDIWA NA NAN KWENYE VITA YA PILI??
You are Totally Brainwashed!! Unataka kuniaminisha kuwa Israel hawana Asili yao? Pole sana naweza kuhisi wewe unaongozwa na Mihemko ya kidini au Una chuki zako binafsi na Israel.unaongea Sana naomba tafuta Mtu Anaitwa Jeffery Sachs alikua CIA Andika Hivi "Jeffery sachs on Israel Millitary Tactics" alfu ujue Uniambie "HAKUNA NCHI ITAIPIGA ISRAEL" sasa na mimi nakuambia hivi WATU WANAOITWA JEWS HAWANA NCHI YAO BALI WANAYO NCHI ILIOKUA INAMAKUBALIANO YA KUISHI PALESTIANS,JEWS AND CHRISTIANS LAKIN wao israel walifukuzwa kona zote duniani ndio wakaenda Palestine.... HIVI KWANZA WEWE DO YOU KNOW THE HISTORY OF ISRAEL... NAOMBA ANGALIA REAL HISTORY OF ISRAEL KABLA NA BAADA YA HOLOCUST....NDIO UONGE UNAYOONGEA KIU KWELI ANAEFAHAMU HISTORY YAO HAWEZI KUITA ISRAEL NI NCHI KAMWEE