Hii ndiyo dunia bana!!!

Hii ndiyo dunia bana!!!

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371

Attachments

  • uploadfromtaptalk1366454019532.jpg
    uploadfromtaptalk1366454019532.jpg
    145.6 KB · Views: 475
Last edited by a moderator:
Nature nayo ina utani wake!!!! Yaani hao mchwa waliona hiyo design ya nyumba yao ndiyo poa??? Inaleta mawazo mabaya kwa SISI TUTAZAMAO picha kwa macho manne:A S angel:
 
kichuuguu lol
Nakumbuka kipindi kileeee wadogo.
tulikuwa tunaenda kwa bibi likizo halafu tunaenda kuchunga.

Wakati ng'ombe wanakula hapo sisi tuningiza mikono ndani ya kichuguu
unang'atwa na hao wadudu"inauma kweli" lakini baadaye inakuwa kama hina
rangi ya machungwa hivi lol ..
 
mkuu ngoja kwanza nicheke hahahahahaha tehe tehe tihi toho, umenikumbusha siku moja na my wife wangu wakati huo mchumba tulienda sokoni pale africa sana kununua mahitaji, wife ni mpenzi sana wa carrot, wakati tunachagua hizo karoti akaja mmama wa haja na yeye akajiunga kwenye ununuzi wa karoti. Yule akaibuka na karoti moja imenona ndefu halafu mbele ina km kirungu wacha ashtuke eti haaa! Yaani muuzaji alikuwa mwanaume wa makamo hivi alicheka mpaka machozi yakamtoka, my wife akamuuliza dada vipi mbona unashtuka? Akakaa kimya kidogo halafu akatabasamu akamwambia wa kwangu kasafiri mdogo wangu! tuyaache km yalivyo, dah muuzaji hana mbavu, mie nikicheka wife ananuna mbaya. Mpaka leo nikimkumbusha anamind eti nilimtafuta yule mama.
 
Back
Top Bottom