Hii ndiyo Afrika

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,619
1,710
Viongozi wa nchi za Afrika wamekuwa waroho na wezi kwa kujinufaisha wao na familia Sao huku watoto wakina kwa njaa.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-02-17-20-17-22.jpg
    Screenshot_2016-02-17-20-17-22.jpg
    20 KB · Views: 25
  • Screenshot_2016-02-17-20-16-43.jpg
    Screenshot_2016-02-17-20-16-43.jpg
    33.4 KB · Views: 21
Ndio taswira ya Africa huko ulaya bila kuangalia ni nchi gani na ni kwa sababu gani! Cha kushangaza mazuri ya Africa hayapewi publicity kama hii

mazuri kama yapi?
hospital shida vifaa vibovu,umeme shida,barabara mbovu,maji shida,elimu shida,ajira shida,watusifie kwa lipi
tungeweza hata matatu tu basi elimu ikawa bora,matibabu bora na umeme usikatike,acha watuponde Tu Ni kweli
 
Ndio taswira ya Africa huko ulaya bila kuangalia ni nchi gani na ni kwa sababu gani! Cha kushangaza mazuri ya Africa hayapewi publicity kama hii
Mkuu wazungu wanajua Afrika kuna mbuga nzuri za wanyama na watu maskin wakutupwa. Huwezi anza waonyesha majengo au nyumba nzuri wakati kwao wanavyo. Kuna mashirika mengi sana ya misaada ambayo yanapata fedha zao kwakupitia michango ya mtu mmojammoja. Hivyo kama hutaki ni lazma tujiimarishe wenyewe. Na tatizo unalijua ni lipi kama mpaka leo hakuna kilichoonekana kukamilika zaid ya majeshi tu
 
Ndio taswira ya Africa huko ulaya bila kuangalia ni nchi gani na ni kwa sababu gani! Cha kushangaza mazuri ya Africa hayapewi publicity kama hii
Hili lilikuwa ni tangazo la NGO inayojishughulisha na kusaidia watoto wanaokabiliwa na majanga ya Kivita na njaa katika skysport 2.

Wameweka picha nyingi za kusikitisha kuonyesha jinsi watoto walivyo na Kwashakoo na Utapia mlo.
 
Back
Top Bottom