Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Viol mwalimu wa hesabu alikua akiingia darasani anapata shida sana.....Hapana bhana hiyo hesabu darasa la pili nikiwa kiti kimoja na maclassmet Wangu utafiti miss neddy Khantwe Ntuzu Secret Service MO11
wee ulikuwa nondo kwenye cookery na nutrition siyo huku..huku tulikuwa nondo akina sisi
Hii ni Big Result Now (BRN).... Wanasiasa wa TZ wanahakikisha Taifa linajaa wajinga ili wawatawale kiulainiiiii:shetani:
Hesabu za namna hii ni za ramli majibu yake yote ni kinyume na sio sahihi nakumbuka wakati huo nikifundishwa uganga wa kupiga ramli nilikuwa naweka majivu juu ya ungo uliofunikwa nayatandaza halafu naaza magazijuto yangu
hemu fanya hii kwanza 3*12 - (1/2 ya 5(8*2)) ya 100
Hii ni ramli