Hii ndio Tanzania ya viwanda

Hii ndio Tanzania ya viwanda

Awamu ya TANO ya Serikali ya Kampeni miaka miwili kazi ni kurudia miradi iliyokwisha funguliwa na aliyemtangulia
Hivi Magufuli haoni aibu kuzindua upya miradi ambayo PICHA ZA MAKTABA zinaonyesha kikwete akizindua na yeye akitumbua macho wakati akiwa waziri wa ujenzi ?
 
Hivi Magufuli haoni aibu kuzindua upya miradi ambayo PICHA ZA MAKTABA zinaonyesha kikwete akizindua na yeye akitumbua macho wakati akiwa waziri wa ujenzi ?

Hahhahahah aibu ya nini na yeye yuko kwenye Kampeni?
 
DC sababu , na yeye ni mchemfu akitekeleza upuuzi huu dunia itamshangaaa......kwani diwani akiwepo au asipokuwepo mwenge hauwakiiii?? Waache upuuziii
 
Kwani huyu Kiongozi wa hizi mbio za Mwenge ana power kiasi gani mpaka atoe agizo kwa maDC, naomba kujuzwa.
 
Itakuwa ni mbinu ya mkimbiza mwenge kuomba nae kupewa 'meno' ya kuwaweka watu ndani kwa masaa kadhaa hasa wale waiouabudu mwenge! Na katika nchii inawezekana kilio chake kusikilizwa
 
Mwenge unahamasishaje viwanda? Mimi sielewi, kwani yale mataifa yaliyoendelea yenye viwanda nayo yalikimbiza mwenge hivi hivi kama sisi.?

Watz, akili yetu inaonekana itaendelea kudumaa hivi kwa muda mrefu sana na ndo hivyo viwanda tutaishia kuviona tu kwa wenzetu kupitia runinga.
 
kama wanavunja sheria unataka wachekewe
hakuna sheria iliyovunjwa. ishu ni kwamba, Kiongozi wa mbio za Mwenge ana mamlaka ya kumwamuru DC? Kwa hiyo huyu kiongozi wa mbio za mwenge ana renki ya Mkuu wa Mkoa? au waziri? au waziri mkuu? au makamu wa Rais? au ana renki ya Rais ? au juu ya Rais? you see the point? mambo shaghalabaghala!!!
 
Hapa tulipofikishwa na Awamu hii ya Tano ni miezi michache baada ya kutangazwa Azimio la Arusha mwaka 1967. Tumekuwa nchi ya vituko na mambo ya hovyo hovyo tu.
Unajua kinacho onekana ni kwamba hakuna hata mmoja kati ya viongozi wa hii awamu walikuwa na hisia kama wangefika kwenye hizo nafasi hata siku moja. Kwahiyo hakuna mwenye kujua uongozi wa sheria ukoje.
Wanadhani kila litokalo kinywani kwao ni aheria. Hii ni hatari sana kukaa na viongozi ambao mawazo yao ni kutawala kwa vitisho na kutumia dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo kiongozi wa mbio za mwenge itabidi akapimwe akili....

maamuzi haya yanatoa taswira ya vibaraka wa ccm jinsi walivyo...
 
hakuna sheria iliyovunjwa. ishu ni kwamba, Kiongozi wa mbio za Mwenge ana mamlaka ya kumwamuru DC? Kwa hiyo huyu kiongozi wa mbio za mwenge ana renki ya Mkuu wa Mkoa? au waziri? au waziri mkuu? au makamu wa Rais? au ana renki ya Rais ? au juu ya Rais? you see the point? mambo shaghalabaghala!!!
Mkuu unabishana na Robot!,kama Mtu anasoma thread lakin haelew,kip? atakielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua mkuu, unachochea vipi maendeleo
Maambukizi mapya ya ukimwi, mimba zisizotarajiwa, zinaa holela, unyanyasaji wa kijinsia, kusimamisha shughuli za kiuchumi, uvutaji bhangi, ulevi, kutumia vibaya rasilimali na fedha za Taifa nk.

Kweli ni kichocheo cha maendeleo kwa wagonga meza na kupiga mayowe
 
Back
Top Bottom