Hii ndio Tanzania ya viwanda

Hii ndio Tanzania ya viwanda

Screenshot_20170801-165526.png
Screenshot_20170801-165547.png


Ndio viwanda vyenyewe
 
Hapa tulipofikishwa na Awamu hii ya Tano ni miezi michache baada ya kutangazwa Azimio la Arusha mwaka 1967. Tumekuwa nchi ya vituko na mambo ya hovyo hovyo tu.
 
Binafsi nakubaliana na mkuu aliyeweka uzi kuwa mchawi ndiye aliyetuletea mwenge wa uhuru ili ibada za kichawi ziendelee.
Mwenge ukilala mahala ndipo mimba zisizotarajiwa, na zinaa zinafanyika kuliko wakati mwingine kisa mwenge!! pombe "gongo" linanyweka bila kificho na bhangi kama moshi wa treni ya zamani, kama haitoshi wabakaji na wanaobakwa siku hiyo kesi hazisikilizwi maisha yanaendelea huku tukiimba Tanzania bila ukimwi inawezekana!!
Kweli Tanzania ya viwanda na tunakoelekea iko siku watu watafunga maduka ili kumpokea mheshimiwa kama enzi zile.
Mungu ibariki Tanzania
 
Hivi upuuzi huu wa mwenge, ni lini utaondoka machoni kwa watanzania. Tumechoshwa na vituko vyake vikiambatana na ufujaji wa pesa za wavuja jasho.
 
Hivi upuuzi huu wa mwenge, ni lini utaondoka machoni kwa watanzania. Tumechoshwa na vituko vyake vikiambatana na ufujaji wa pesa za wavuja jasho.
mwenge unachochea maendeleo hasa vijijini ni alama yetu lazima tuidumishe
 
Ukiwa na vyerehani vinne tayari ni kiwanda kidogo - Mwijage .
 
Chakula cha watu hicho.Ukiangalia Mwaka jana Mwenge ulitumia bilioni 200 na ushee,wakati hatuna hospitali wala shule zenye maana achia mbali barabara
Kumbe tukiusitiri Makumbusho kuna watu watalala njaa!

Hatari sana
 
Back
Top Bottom