Hii Ndio Tanzania Bana

Kha! sasa hiyo ni maiti au mtu anapelekwa hospital? hembu liweke sawa Mkuu.
 
mmmh!!lkn yataka moyo,hata kuiweka tu hapa!!!!
 
duh.. hapo ukute kituo cha afya kilometa 60!
 
Mbuzi Mzee hivi unatoaga wapi hay amapicha...???!!!
anyway thenkyuu kwa mapicha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mlikua mnafanya majaribio ya Ambulance au ni kweli huyo ni mjamzito?
Kama mtoto akizaliwa salama naomba aitwe LIFAN. Haijalishi ni ke au me.
 
Halafu "ooohhh, vibajaji havifai"!
 
Do mi huwa najiuliza mambo mengi sana ila ni maisha tuu na huyu jamaa huko kwao kuna mbunge na kuna matajiri kibao wametokea huko si wanunue hata gari ya kijiji au wajenge hispitali karibu.
 
Picha imenisikitisha sana.

Inasikitisha sana , halafu viongozi wa nchi wanataalii tu ughaibuni wakitumia fedha ambazo zingetumika kununua ambulance za kuwasaidia wananchi wao!!! Haya ndio matunda ya kuuza nchi kwa kupewa suti!
 
Huuuwwwwi hii ilikua tosha kabisa kuandamana

Wabongo hatuwezi kuandamana kwa mambo ya msingi kama hayo, ole wake ajitokeze mtu akashifu dini yetu ndo utauona moto wetu
 
Kimbilia pale Lumumba street ukapokee chako na humu jamvini acha ***** wako usio na mwelekeo hata punje!
Eti halafu vibajaji havifai!

Halafu "ooohhh, vibajaji havifai"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…